Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilikuwaga sijawahi kusoma aisee
Umenifanya nikasome[emoji23]


Za kupima sijui hata huwa nazionaje..naona kama hazipo katika hali ya usafi[emoji3064]View attachment 2185419

Ooh sawa
Hizi ni nzuri kuliko zile za Mo .
Za kupima huwa ni nzuri tena kwa mwezi huu ndo kuna tambi nzuri mno .. nilipika juzi hapa aisee nzuri na zimechambuka vizuri .

Je unapika noodles zile ?
 
What shall I render to Jehova?
For He has done so very much for me[emoji24][emoji2969]
20220412_223327.jpg
 
Mie nakulaumu wewe... we mwambie uncle anamsalimia 😀😀,
Halafu hilo swali alilopata mwambie xmas zawadi inamuhusu

Mention five sensory organs
1.Skin ✔️
2.eyes ✔️
3.tongue ✔️
4.ears ✔️
5.nose ✔️
💯

👏👏👏👏
hz kitu ukiwa ktk kale ka mchezo ka wakubwa.ndo utajua umuuhiimu wake
 
Ulinitafuta Kalvari
Ukanitua na mizigo

Yesu uliteswa Kalvari
Ushindi tumeupata kwako kufa

Iyooo hiyoo Kalvari
[emoji91][emoji91][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
20220412_223803.jpg
 
Back
Top Bottom