Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Hehehe unafukuza bahati shauri yakoHadi nina mtoto[emoji2]
Hehehe unafukuza bahati shauri yakoHadi nina mtoto[emoji2]
Ipo siku itatokea upo nilipo[emoji4]
Uone kwanzaUnapenda kuona vitu vya ajabu
Id niliyopewa hata nikiitafuta siipati, naona alishabadili.Ndugu wewe niambie tu tusikimbiane wambea huwa wana ushirikiano sana[emoji23][emoji23]
Hadi nina mtoto[emoji2]
Bahati gani tena mchumba?Hehehe unafukuza bahati shauri yako
Ukiwa Dar u feel like going out nijulishe nitakuja popote[emoji4]ha ha ha haya karibu
Kuna waume wema humu watajua umeolewa kweliBahati gani tena mchumba?
Hivi kumbe sikukupa taarifa nkamu jamani[emoji134]Nkamu umeanza lini kudanganya
Hivi kumbe sikukupa taarifa nkamu jamani[emoji134]
Ukiwa Dar u feel like going out nijulishe nitakuja popote[emoji4]
😅😅😅acha ubabe uombi samahani sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi watu kama wewe ndiyo nawapenda sijui kwanini
Eti wasije kusahau 🤣🤣Nikiwa Dar nowdays nachill tu na watoto wasije nisahau bure muda unakaba sana, but thank you[emoji1545][emoji1545]
When u feel like, kids are very important wewe ni Mama mzuri keep it up[emoji4]Nikiwa Dar nowdays nachill tu na watoto wasije nisahau bure muda unakaba sana, but thank you[emoji1545][emoji1545]
[emoji1787]Salama kabisa, lile zoezi letu umeliweka pembeni kabisa
Mkuu huyu mrembo kanitosa kabisa[emoji1787]
Zingatia ule mfanano
Mdogo mdogoMkuu huyu mrembo kanitosa kabisa
Tuwashangaze sio[emoji23]Mdogo mdogo
Atakuelewa tu
Hadi mtushangaze[emoji1787]