Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
SawaSawa
Nitakupitishia
Niwekee karanga zilizomenywa za buku 2
SawaSawa
Nitakupitishia
Niwekee karanga zilizomenywa za buku 2
Mm huwa dawa hazinikubali naungua Sana nikajaribu olive oil ikakubali lkn kila mwez nywele imeota nikazikata now ni hizo natural hair japo soon nitaziweka dawa View attachment 2180692
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea unatumia ya nazi yapi .Aisee watu mno siriazi jamani hadi raha [emoji3059]
Aibu napata mimi nayepaka tu nafuta ya nazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaifuata saa ngapi???😏naomba apple 😜😜
Ndo hayohayo napata kuanzia kichwani hadi miguuni[emoji23][emoji23][emoji23]Inategemea unatumia ya nazi yapi .
Kuna ya nazi mazuri mno .
Kuna mtu amezoom kwenye kioo aone sura,, au ni mimi tu[emoji848][emoji848]Ss hii ni 2014,15-17... Can u imagineView attachment 2180682
Picha nyingi ila zinatosha kwaleoView attachment 2180685View attachment 2180686View attachment 2180691
My ex njoo upate moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiasi dear sema ni vizuri kushare unachofahamuWewe ni hair stylist eeh maana unajua
Asante sana nitazingatia hili .
Siretouch sana ikitokea zimeotea inabidi uweke tu maana haupendezi hata ...
Hata mi naona kabisa ndo nakoelekea,nayoa nianze naturalMm huwa dawa hazinikubali naungua Sana nikajaribu olive oil ikakubali lkn kila mwez nywele imeota nikazikata now ni hizo natural hair japo soon nitaziweka dawa View attachment 2180692
Hatari na nusu[emoji91][emoji7][emoji7]Sio mbaya bado zipo zipo kiasiView attachment 2180708View attachment 2180709
Aisee watu mno siriazi jamani hadi raha [emoji3059]
Aibu napata mimi nayepaka tu nafuta ya nazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Parachute mazuri bhana .. yananukia .Ndo hayohayo napata kuanzia kichwani hadi miguuni[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweka dawa?Mimi zangu zinakatika sana mbele mpendwa
Affirmitive that's youMkongo huyu anajua kuweka style balaa
Sema anakuunguza hadi unaomba poo nimemhama mie View attachment 2180710
Nyie[emoji3059][emoji7][emoji108][emoji91]Mkongo huyu anajua kuweka style balaa
Sema anakuunguza hadi unaomba poo nimemhama mie View attachment 2180710
asahivi, ila siku ile uliniacha kituoni usiku mzima nakusubiri 😀😀😀Unaifuata saa ngapi???😏
[emoji16][emoji16]mafundi wananisimanga dear buku zangu za kusuka lakn naonewa[emoji7]
Usiweke dawa Auntie wa Junia
Ziache hivyohivyo
Inategemea unatumia ya nazi yapi .
Kuna ya nazi mazuri mno .
Mbona nzuriMkongo huyu anajua kuweka style balaa
Sema anakuunguza hadi unaomba poo nimemhama mie View attachment 2180710