Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,259
- 49,192
Yaan acha tuKhaa wasusi hawa , sijui wanakuwaga na wivu .
Sema natural ndo shida yake hii .
Yaan acha tuKhaa wasusi hawa , sijui wanakuwaga na wivu .
Sema natural ndo shida yake hii .
Yale ya mnyonyo heri waninyonge kuliko kuyapaka.Parachute mazuri bhana .. yananukia .
Mie huwa sizangatii sana kuhusu mafuta natumia olive na mnyonyo kwa mbali .
[emoji3][emoji3]hizo picha zote hazina suraKuna mtu amezoom kwenye kioo aone sura,, au ni mimi tu[emoji848][emoji848]
Kiasi dear sema ni vizuri kushare unachofahamu
Ni kweli zinakua hazipendezi ushauri ukiona zimeota na muda bado wa kutosha kuretouch tafuta fundi mzuri wa nywele za mkono kunastyle nying unatafuta vibanio vyako vzuri kadhaa unatoka hivo ukienda kazini unapendeza tu
Pia kunastyle nying nzuri sasa hiv za natural hair fanya hivo ukiwa unavuta muda
😁😁😁😁 Poleee.asahivi, ila siku ile uliniacha kituoni usiku mzima nakusubiri 😀😀😀
Sio mbaya bado zipo zipo kiasiView attachment 2180708View attachment 2180709
YesAffirmitive that's you
eeh nichekie ka flight chap nitokee 😀😀😁😁😁😁 Poleee.
Sasa boat ya mwisho ishawasili...nikuangalizie flight?🤓
Suka mwayaNyie[emoji3059][emoji7][emoji108][emoji91]
Mnanimotivate kusuka
Usiweke dawa[emoji16][emoji16]mafundi wananisimanga dear buku zangu za kusuka lakn naonewa
Mkongo huyu anajua kuweka style balaa
Sema anakuunguza hadi unaomba poo nimemhama mie View attachment 2180710
Hayo ndo mazuri sanaHasa ya kutengeneza mwenyewe,unaweza hata kupikia..
Mm huwa natumia mafuta ya Nazi tu[emoji16][emoji16]ya buku mbili somtym olive oilHaziumi ukichana ? Na unatumia mafuta gani?
Jichanganye tu unachangia hivyohivyo kama mimi tu[emoji23][emoji23][emoji23]Leo wenye vipara tumegeuka wasomaji [emoji16][emoji16]
Aisee [emoji119]Sio mbaya bado zipo zipo kiasiView attachment 2180708View attachment 2180709
Siku ya kuset kila nywele ni nzuriMbona nzuri
Joto[emoji3064]Suka mwaya
Mimi toka niseme nanyoa mwaka umepita sasa bado nabembeleza nywele hapa [emoji1787] .
Daah nimefunga mkuu [emoji3]Umeonaa hiii.. siku ya kwanza nimekutana nayoo kidogo nife kwa shock moyonii.. pisi imejitolesheza kupita kiasi.. hii ipo mahala
mtu chake View attachment 2180699
Mafuta ya nazi ni mazuri mno kwa nyweleAisee watu mno siriazi jamani hadi raha [emoji3059]
Aibu napata mimi nayepaka tu nafuta ya nazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]