Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa nini hupendi ya mnyonyo ... Watu walijua kuyasifia jamani .

Weka curly najua utapendeza na ni nzuri kuliko dawa .
Wayasifie tu aiseee
Ile harufu yake inanichefua kiasi kwamba hata mtu ninayemsuka akipaka inabidi nivae barakoa.


Curly ndio ipi hiyo??
Kwa kweli itabidi nizilainishe..hapa najishika kichwani nawaza kuchana namna zinauma[emoji23]
 
Back
Top Bottom