Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Anaanzaga Dar express bana
Express anatoka Dar anafika Ars saa 9 ya dk za mwanzoni[emoji1787]
Afu anafata Kidia na Tilisho, Dar express uwa anawaacha.
Natamani kubisha lakini nikubali tu, mimi niko karibu sana na njia ya Bagamoyo ambayo baadhi ya mabasi kutoka na kwenda kaskazini yanapita, sijawahi kuona gari inayomtangulia tilisho, labda njia ya chalinze ila ya msata na kataa.
 
Dar Express anawatangulia kuingia Arusha
Nauza duka stend hapo Makao mapya
Labda humuonagi tu wewe
 
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
47182743_2648852615132463_2298348601336799203_n.jpg
 
Back
Top Bottom