Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Babu naomba korosho😋
Babu naomba korosho😋
Kumbe texture ya nywele zako inafanana na yangu!Mimi nina nywele nyingi halafu nzito ila sasahivi zimekatika sababu naweka rangi sana,natumia beautiful beginning miaka yote na inanifaa sana,pia natumia cantu(leave-in conditioner sababu nywele zangu kavu,napia nafanyaga deep conditioning natumia dark n lovely conditioner...
Duh una ujasiri kunawakat nafika Hadi kwa wanaotoboa nauliza Bei narudiNenda kwa sonara,mimi nimetoboa matanonapenda urembo kushinda kula..



Hapo 🫒 oil yanajaza nywele na hazikatikiView attachment 2180637
[mention]Christine1 [/mention] [mention]Tinsley [/mention] hair products nazotumia..
Unawapenda,halafu unawaonea hurumaNawapenda walio tobea kitovu, masikio, pua na ulimi.. wanao toboa paka nawaonea huruma sana

WowView attachment 2180637
[mention]Christine1 [/mention] [mention]Tinsley [/mention] hair products nazotumia..

.Asante kwa ushauri rafikiUkitoboa kwa sonara muwe mnapaka spirit kuua vijidudu kwa siku tano na litapona haraka
Kumbe texture ya nywele zako inafanana na yangu!
Mi beautiful nilitumia zamani ndo nikahamia olive!
Walivyo let's mpya ndo balaa lilipoanzia!
Sshv nimekuwa nazikata kidogo kwa juu mara kwa mara sbb nimebadirisha dawa,taratibu mpk zikae sawa
Ila sina mambo mengi ya sijui conditioner hapana!
But MPL ni mafuta mazuri sn
upendo hutangulia kabla ya yote 😀😀😀😀Unawapenda,halafu unawaonea huruma![]()
Kitu cha

umenikumbusha mbaliMatano una ujasiri 😍Nenda kwa sonara,mimi nimetoboa matanonapenda urembo kushinda kula..
Wow
Watu mnajua kutunza nywele hadi raha
Hakika nimekuwa insipired maana huwa sizijali sana ndo maana hazikui nabaki kuchekwa kila siku.

Ooh sawa hiyo ya cantu itakuwa nzuri sanaMafuta nilikua natumia blue magic ila ikanipa mba nikaacha ila soulmate ndio yalinipenda,kwasasa natumia conditioner ya cantu kama mafuta na nywele zinakua laini maana ni kavu sana...
Ila mbadala wa olive kidogo naona iko vzuri ni mega growth lkn uwe unatumia product zoteNa huwezi amini kwa sshv zimekatika sana tu,japo kwa asiyenifahamu anaona bado nina nywele! Ofcoz bado zipo sana sbb nina asili tu ya nywele!
But shida kubwa ni kupata dawa itakayokupenda,mi nilikuwa natumia Olive oil ya box ambayo kwa ss haipo kabisa,wameleta olive mpya ambazo mi zimenikataa kabisa !
Sijui steaming,conditioner skuwahi kuhangaika na hivyo vitu!
Nilichofanya nimerudi kwenye' Revlon' baada ya kuhangaika! Ni dawa ya zamani haina mambo ya kuchakachua sijui nn!
Maana kuna watoto vichanga kabisa tunawatoboa na hawapati matatizo cha msingi mkitoboa masikio mpake sprit, na pia msivae kila heleni bora ununue heleni nzuri na not so cheap hizo cheap naonaga zinawaletea shida sana wengi mpaka masikio kuvimbaAsante kwa ushauri rafiki
Kumbe texture ya nywele zako inafanana na yangu!
Mi beautiful nilitumia zamani ndo nikahamia olive!
Walivyo let's mpya ndo balaa lilipoanzia!
Sshv nimekuwa nazikata kidogo kwa juu mara kwa mara sbb nimebadirisha dawa,taratibu mpk zikae sawa
Ila sina mambo mengi ya sijui conditioner hapana!
But MPL ni mafuta mazuri sn
Matano una ujasiri![]()

Pole!Aisee pole
Ni kweli wameleta olive mpya aisee , kumbe inachagua hivyo .. hujawahi kutumia Mega
Kha una asili ya nywele yaani hajauwahi fanya steaming aisee bila steaming mimi nywele haiendi . Jaribu kufanya hata steaming ya bamia
Nakumbuka nilihamia kwa olive box then baada ya muda nikarudi kwa dawa ya kopo aisee nywele huku nyuma zilikatika zote nikawa kichekesho.
Ikabidi ninyoe nianze moja

Aisee zikikatika inabidi tu uzijali .. nimechoka kuchekwa ngoja nianze kuzipenda .Hata mimi nilikua sizijali zilivyoanza kukatika ikabidi tu nihangaike maana kuvaa ma wig inachosha na hili joto![]()
.Ooh sawa hiyo ya cantu itakuwa nzuri sana
Mafuta huwa natumia ya olive oil tu hapa .
Soulmate hayo ni ya maji au ?