Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
Kwahiyo hujatoboa masikio love?Huwa navaa za kubana mara moja .
Nzuri zipo kariakoo huku mitaani hamna .
Kwahiyo hujatoboa masikio love?Huwa navaa za kubana mara moja .
Nzuri zipo kariakoo huku mitaani hamna .
Za mitaani hizi za kubandika ni sio nzuri sanaOoh
Hata mitaani zipo ni namna tu ya Ku select!
Inategemea unapenda zipi
Mtaa wa congo dearKariakoo mtaa gani?
Mbona umeweka "negative"?[emoji3][emoji3]
Sijatoboa last time ilikuwa nitoboe nikaghairiKwahiyo hujatoboa masikio love?
Hereni kubwa hizi huwa zinapendeza mno .
Basi tuMbona umeweka "negative"?
Sio kwa hyo editing [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji3]yaani nimegundua we ni muoga!Sijatoboa last time ilikuwa nitoboe nikaghairi
Wengine wana mikono mibaya nasikia .
[emoji3][emoji3][emoji3]Sio kwa hyo editing [emoji2][emoji2][emoji2]
Hujakosea sana [emoji23][emoji3]yaani nimegundua we ni muoga!
Mi nimetoboa nikiwa mkubwa hivihivi
Nenda kwa sonara bwana
Iko page no ngapi?
dak kadhaa na mie ndani.. leo ijumaa pananoga sana 🤓🤓🤓
Shangaziiiiii 😊😊😊😊Imeshafutwa kaka..
Punguzeni kufuta.Imeshafutwa kaka..
UmetukomeshaBasi tu
Beautiful Dodoma
Oh sawaMtaa wa congo dear