Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Oh kumbeKitakuja kwenye picha inatofuata[emoji3526]
Haya tupia tuone
Oh kumbeKitakuja kwenye picha inatofuata[emoji3526]
[emoji23][emoji23][emoji23] alafu wote wanaimbia mapenzi sijui yamewafanya niniNa ziwe na utofauti.
Sasa za saiv wanabana pua karibia wote sauti moja
Nimekulia jeshini,nazijua chocho zote pale[emoji28]Hahaha pole mkuu bora kama ulikuwa unajulikana [emoji3][emoji3]
Hahahahaaaa😀😀😀 joto linakuwa juu hakuna ka ubaridi huku moto na huku moto.. moto plus moto.. umoto moto wa maaana
Duh 👐Saint Anne njoo unirekebishe vizuri hapa beganiView attachment 2179389
Hata Heaven Sent anajua hayaHaha anayosema ni kweli lakini madam kwani wote si tumejionea yaliyomo [emoji16][emoji16]
No creativity yaan full utopolo[emoji23][emoji23][emoji23] alafu wote wanaimbia mapenzi sijui yamewafanya nini
Kabisa kaka hawana fleva hataSasa hivi wanaimba imba ovyoo ovyoo ilo watu wacheze ovyo ovyoo.. ila ndio dunia nayo inataka hivyo
Na hapo ana watoto wawiliDuh [emoji114]
Ewaaaa... huku mmefungulia muziki ya Sugu moto juuu sugu moto juuu.. kwa wenye miziki vichaaa hadi unasikia nyumba inataka kubomoka 😀😀😀😀Hahahahaaaa
Umenikumbusha wimbo wa Sugu moto chini aaah
😀😀😀 sio mkuki bali mshaleNa hapo ana watoto wawili
Sipatii picha before
Zitakuwa zilikuwa km mkuki
Kama Amapiano, zinaboaaaaa ila kuna saa ukiziskiliza zinanogaSasa hivi wanaimba imba ovyoo ovyoo ilo watu wacheze ovyo ovyoo.. ila ndio dunia nayo inataka hivyo
Ukimpiga atakasirika atajitupa tupa na atakataa kula[emoji23][emoji23][emoji23]Usimpige jamani atakasirika
Junia huyu yaani
Yupo hivyohivyo
Nilikuwa najipikilisha breakfast Boss Lady. Wapi mtandio? [emoji15]Shimba Ya Buyenze uko wapi kuna ya mtandio hukuuuuu[emoji2960]!
Ngoja kidogo itatupiwa tu[emoji4]Oh kumbe
Haya tupia tuone
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ewaaaa... huku mmefungulia muziki ya Sugu moto juuu sugu moto juuu.. kwa wenye miziki vichaaa hadi unasikia nyumba inataka kubomoka 😀😀😀😀
Angalia vizuri nimeweka jina na nyimboUngeweka jina la wimbo na msanii niingie chimbo [emoji41][emoji41]
Eti mama wa watoto wawili mweh! Wengine hata hawajazaa lakini zimelala yoo [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Saint Anne njoo unirekebishe vizuri hapa beganiView attachment 2179389
Ewaa mshale[emoji3][emoji3][emoji3] sio mkuki bali mshale
amapiano nzuri na inanoha kutazama wadada na watu wenye vitambi kama mimba.. wakiwa juu ya vimeza midaaa mibayaa kabisaa.. huwa zinabambaaa.. ila pia siku hizi ma dj wa kubahatisha sana.. Djs wachache sana siku hiziKama Amapiano, zinaboaaaaa ila kuna saa ukiziskiliza zinanoga