Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Muacheee babu yetu😂😂Imeisha hiyooo... babuu wa kujiongezaaa 😀😀😀😀😀
Hizo old school unaziskilizia mitaa ya wapi
Muacheee babu yetu😂😂Imeisha hiyooo... babuu wa kujiongezaaa 😀😀😀😀😀
Hebu tupia sasa na lile guu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani Anne
Nimecheka mpaka binti yangu ananishangaa..Ila wewe[emoji119][emoji119]
Ndio nliweka MkuuHivi mkuu ushaweka yako?
Cha muhimu ni kufika salama tu nkamu. Mengine yote ni madogo [emoji1545][emoji1545]
Sasa hapo si mpka kuchambua huko kwenye mafile [emoji28]Mimi nina picha kama utitiri humu
Uwe tu mvivu kuangalia
Tatizo huwa sijilinganishi na mtu!!🙄Zako sasa zinabalance equation vizuri
Si unajua kemia madam[emoji23][emoji23]
Tunapamba vilivyopambika tayari [emoji3059][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitengo unakutendea hakiiiii [emoji23]upambe kwakwenda mbeleee[emoji1787][emoji1787][emoji2960]!
Naomba uweke tena mkuuNdio nliweka Mkuu
Kila page zipoSasa hapo si mpka kuchambua huko kwenye mafile [emoji28]
Yeah [emoji846][emoji846]12 Gauge?
Hahahaaa..... for you msukuma ngoja niangalie angalie tatizo sijapiga mpya msukuma!!Haya bana [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hata sisi hatujakulinganisha ndo maana tunasema wewe ni wa pekee [emoji3059][emoji847]Tatizo huwa sijilinganishi na mtu!![emoji849]
Avatar yako kibokoHahahaaa..... for you msukuma ngoja niangalie angalie tatizo sijapiga mpya msukuma!!
Ungeweka jina la wimbo na msanii niingie chimbo 😎😎Niwekee nyimbo ya mchizi mox,hadithi na Ngoma ya Saigon 'niaze na kibongo bongo au kinyamwezi'
Hizi nyimbo nazitafuta sn sijazipata
Hapa nipo maeneo naitafuta Dar es Salaam.. 😄😄😄Muacheee babu yetu😂😂
Hizo old school unaziskilizia mitaa ya wapi
Mambo ni mazitokwakweli [emoji23][emoji23]
Hii hapa MkuuNaomba uweke tena mkuu