Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Kumbe hadi meno mazuri jamani aawHii niliona shida kukenua
View attachment 2179383

Kumbe hadi meno mazuri jamani aawHii niliona shida kukenua
View attachment 2179383

Kabisa, playlist lazima iwe ndefu ili usikilize nyingi tofautiZa saiv ukiskiliza mara 2 zishaboa
Mchongo ndio🤣Nimeshangaa eti anasema ukimwi unaua.. kwa malaria ina ponyaaa.. 😀😀😀😀 alafu naona ukimwi ni mchongo flani hivi wazungu wawapige pesa
Kuna dhambi sana dar es salaam.. kwaiyo Bwana Mwenyewe anafanya Testing ya moto jotoo.. 😀😀😀 raia waanze kuzoea zoea😂😂😂😂😂
Ila leo jua lilikua kali sana ujue, bora jion imefika joto limepoa.
huyu Junia ni wa kumfundisha nafasi ikipatika, napo Mama yake asiwepo



😂😂😂😂😂😂Anne..I can't youKumbe hadi meno mazuri jamani aaw![]()
Nimemwambia, yaan huyu sjui yupoje anapenda sana kumchokoza babu yetuMwambie amuache babu yetu, babu yuko shamba. Busy na kilimo
Raia zenyew zinaskia basi?Kuna dhambi sana dar es salaam.. kwaiyo Bwana Mwenyewe anafanya Testing ya moto jotoo.. 😀😀😀 raia waanze kuzoea zoea
Inabidi kuwafundisha hawa, kuna mmoja wa leo ntamtafutia mida nimuelezee tena yeye ni mkubwa wa form one lakini akili za kina junia
Muache junia jamani
Ndo alivyo

😄😄😄😄 Akili si ndio imefunguka.. acha team dry tuendelee kujipongeza kwa kungua huu mchongo wa hawa mabeberu.. lazima tuishi na kufaidi uumbaji bwanaMchongo ndio🤣
Wazungu matapeli ulikua hujawashtukia kumbe?
Wanatuonea wivuuu
Hatari sanaAnne..I can't you
😄😄😄.. raia wametoboka.. hawasikii ila dar joto naona la kawaida.. na ndio linafaa kwa mitanangeee sasaRaia zenyew zinaskia basi?
Zishapinda kitambo hazina muda wa kujirekebisha yaani tabu tupu
Waliniweka chini ya ulinzi km nusu saa hivi,ikapigwa simu Kama najulikana mle ndani au ni mamlukiHahaa walikufanyaje mkuu![]()

Sasa hivi wanaimba imba ovyoo ovyoo ilo watu wacheze ovyo ovyoo.. ila ndio dunia nayo inataka hivyoHuwa haziboi kama za sasa hivi
Haya sasaSaint Anne njoo unirekebishe vizuri hapa beganiView attachment 2179389




