Sir Carter
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 631
- 1,418
Mh nyie[emoji39][emoji4]Saint Anne njoo unirekebishe vizuri hapa beganiView attachment 2179389
Mh nyie[emoji39][emoji4]Saint Anne njoo unirekebishe vizuri hapa beganiView attachment 2179389
Afande🤭🤭🤭🤭😜😜😜!!!Uko vizuri madam [emoji7][emoji7]
Mkemia wetu huyu na rangi yake ya mtumeUko vizuri madam [emoji7][emoji7]
Hujamaliza kwa yna Anne malizana nae [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanzaMkemia wetu huyu na rangi yake ya mtume
Anatetemesha server[emoji1787]
Hahaha pole mkuu bora kama ulikuwa unajulikana [emoji3][emoji3]Waliniweka chini ya ulinzi km nusu saa hivi,ikapigwa simu Kama najulikana mke ndani au ni mamluki[emoji28]
Baada ya nusu saa kupita nikaambiwa ingia,Ila mambo mengine siyo vizuri kuelezea hapa..Nilikaa mzinga km wiki kisha nikarudi Dar
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inabidi kuwafundisha hawa, kuna mmoja wa leo ntamtafutia mida nimuelezee tena yeye ni mkubwa wa form one lakini akili za kina junia[emoji23]
Tupo na boss ledi sisi[emoji91][emoji91][emoji91]Hujamaliza kwa yna Anne malizana nae [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanza
Aah kabisa😂😂😂😄😄😄😄 Akili si ndio imefunguka.. acha team dry tuendelee kujipongeza kwa kungua huu mchongo wa hawa mabeberu.. lazima tuishi na kufaidi uumbaji bwana
Dah..! Hicho kifua na hizo Chu..Saint Anne njoo unirekebishe vizuri hapa beganiView attachment 2179389
Kidevu hicho tukioneEmoji mbona ndogo kabisa hyo [emoji4][emoji6]
Na ziwe na utofauti.Kabisa, playlist lazima iwe ndefu ili usikilize nyingi tofauti
Boss ledi Africa na dunia kwa ujumlaKabisa [emoji1][emoji1]
Acha tu waseme ila sio kwa Junia huyu asiyejua tofauti ya Mama na Dada au Rafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanasema unamnyanyasa Junia
🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭😂Dah..! Hicho kifua na hizo Chu..
Swaumu yangu inaharibika mwishoooni Yani..sijapenda[emoji41]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
😄😄😄 hatari sanaaa... hasa kwenye moto.. na wenye vitu special uuuwiiii.. plus joto la dar eeeh..Aah kabisa😂😂😂
Ila wewe hahahaa, wacha tu ni😷😂
Iriz waririz 🤣🤣🤣😄😄😄.. raia wametoboka.. hawasikii ila dar joto naona la kawaida.. na ndio linafaa kwa mitanangeee sasa
Kabisa [emoji1][emoji1]
Usimpige jamani atakasirikaAcha tu waseme ila sio kwa Junia huyu asiyejua tofauti ya Mama na Dada au Rafiki
😀😀😀 joto linakuwa juu hakuna ka ubaridi huku moto na huku moto.. moto plus moto.. umoto moto wa maaanaIriz waririz 🤣🤣🤣
Kitakuja kwenye picha inatofuata[emoji3526]Kidevu hicho tukione
Na wewe unataka tukubembeleze kama Junia?[emoji1787]