Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,403
Unaweka ya mtandio Boss Lady? Au baadaye sana?Kweli msukuma!! Nimetoa vichwa viwili!!
Unaweka ya mtandio Boss Lady? Au baadaye sana?Kweli msukuma!! Nimetoa vichwa viwili!!
Mzuri umechangamka sanaNaupenda huo wimbo balaa
Hio Tufanye baade msukuma!!Unaweka ya mtandio Boss Lady? Au baadaye sana?
amapiano nzuri na inanoha kutazama wadada na watu wenye vitambi kama mimba.. wakiwa juu ya vimeza midaaa mibayaa kabisaa.. huwa zinabambaaa.. ila pia siku hizi ma dj wa kubahatisha sana.. Djs wachache sana siku hizi
Mwezi Mtukufu huu Ostaadh ohoo!Hakika nimetenda dhambi kwa kuwaza.
🤭🤭🤭😜😜Hakika nimetenda dhambi kwa kuwaza.
Mwezi Mtukufu huu Ostaadh ohoo!
Dah! Shida ni kwamba itanipita bana ...Hio Tufanye baade msukuma!!
Habari za masiku mtoto mzuriMhh
Ni classic kama Kidia?
Nitajaribu
Mkuu nishatubia,Mwezi Mtukufu huu Ostaadh ohoo!
Pachaz!!???😂Kweli msukuma!! Nimetoa vichwa viwili!!
Dah Anko umeanza mambo ya Junia?Nitavizia ukiwa on hata usijali![]()
Tunaitaka sasahiviDah! Shida ni kwamba itanipita bana ...
Hebu uweke basi Boss Lady. Nataka kuingia barabarani nisije nikaenda huko na wasiwasiNilikua nakusubiria msukuma kuna ya mtandio hapa!!![]()

Hongera zako mkuu
Junia atakula akiamuaUnaweza kupiga mtu makofi![]()
Naunga mkono hoja hii ya kizalendo na yenye manufaa kwa nchi yetu....Tunaitaka sasahivi
Uzi uteteme
Dah Anko umeanza mambo ya Junia?
Kukuomba kote huku jamani?


hamna junior ana upekee wake, ila nimekutoa hofu ukiwa active ndio naweka