Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
Potelea pote tuongezee ingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukionana utanikimbia..hutaaminj
Potelea pote tuongezee ingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukionana utanikimbia..hutaaminj
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu Junia ni wa kumfundisha nafasi ikipatika, napo Mama yake asiwepo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja Junia akukumbushe kwa kukubatua na begi la uso
Mipira mwisho uwanjani😂😂😂Na kweli.. mipira ishapitwa na wakati.. tupa kulee.. ni mwendo dry kama tulivyo umbwaa 😀😀😀
Ohooo kweli Madam?[emoji4]Hizi ndevu ka nazijua[emoji848]
Aaah weeee😄😄😄😄 wenye mji wenu sie wa mikoani tunakujaga kushangaa tu mataa na kurudi makwetu...
Hebu kenua sasa tuone unavyonoga zaidi😜!Hii niliona shida kukenua
View attachment 2179383
😄😄😄😄 ewaaaaa... na wanao tumia wauwaweee tu.. hawana tija..Mipira mwisho uwanjani😂😂😂
mnakula sana maisha.. tuna wasubiri mikoani 😊😊 mje kula vitu vya kimkoa mkoaAaah weeee
Wachaaaaaaa
🤣🤣🤣Umeanza mambo za Anne eehHebu kenua sasa tuone unavyonoga zaidi😜!
Ndio najaribu kuvuta memory hapa niliziona wapiOhooo kweli Madam?[emoji4]
Mimi sijawahi hata hapo nina account kwake[emoji16]Kitambo sana nilimtumia huyo broker..
hapana Anne simfikii hata robo 🤣🤣!!🤣🤣🤣Umeanza mambo za Anne eeh
Nimeshangaa eti anasema ukimwi unaua.. kwa malaria ina ponyaaa.. 😀😀😀😀 alafu naona ukimwi ni mchongo flani hivi wazungu wawapige pesaMipira mwisho uwanjani😂😂😂
Huwa haziboi kama za sasa hiviLeo zimefanya siku yangu kuwa zuri.. nimekuwa na memory nzuri ya yaliyopita
😂😂😂😂😂😄😄😄😄 ewaaaaa... na wanao tumia wauwaweee tu.. hawana tija..
Za saiv ukiskiliza mara 2 zishaboaHuwa haziboi kama za sasa hivi
Sawa ukikumbuka nijulishe [emoji4]Ndio najaribu kuvuta memory hapa niliziona wapi