Hakuna ubaya, maana hata kama ukiona picha hizo huwezi mfahamu au kuoanana nae maisha. Halafu ni yeye ndio ameweka kwanza nipo na ugomvi nae kwanini ametumia akaunti yangu ya JF
anyway, ni mama watoto wangu amepost hizo picha muwe na amani. Na imani hakuna kilichoharibika ni utundu wake tu umemfikisha huku. Uzi umetendewa haki, na imani kuna wadada wazuri tu humu ndani.