Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
😬😬😬😬.. nidhamu tu, unakuta unatumwa ufanye kitu flani hufanyi..Duh mlikuwa mnafanya makosa ya aina gani ukorofi umeanza mda kumbe😬
😬😬😬😬.. nidhamu tu, unakuta unatumwa ufanye kitu flani hufanyi..Duh mlikuwa mnafanya makosa ya aina gani ukorofi umeanza mda kumbe😬
Weeee mbona utalipa vizuri tu..!! Kazini uso mbuzi sitaki mazoea na wanafunzi kabisa!!Sina hela ya kulipa..
Boss wetu wa kimataifa najua utanilipia
😄😄😄😄 dah! wazee. waliluwa serious sanaaa ukicheza kidogo unachezea mkong'ote heavyMzee wangu alikuwa anakwambia ingia uvungu wa kitanda nusu mpka kiunoni 😂😂😂😂 ukicheza cheza wakati unachapwa wewe unagonga chaga Tu 😂😂😂
Aisee 😬😬😬😬😬.. nidhamu tu, unakuta unatumwa ufanye kitu flani hufanyi..





mtoto wetu utakuwa unamfanyaje 😀😀.. au basiAisee 😬
Dah ntakuchekesha Hadi unilipieWeeee mbona utalipa vizuri tu..!! Kazini uso mbuzi sitaki mazoea na wanafunzi kabisa!!

Hahahaaa.... Sicheki huwezi amini... nakua uso mbuzi!!!Dah ntakuchekesha Hadi unilipie![]()
Sijui itakuwaje mimi mkali ila kwenye kupiga hapo itakuwa ngumumtoto wetu utakuwa unamfanyaje 😀😀.. au basi
Sasa na mie kama kondooo mpole sana, siwezi hata ongea .. tutafanyaje sasa 😎😎Sijui itakuwaje mimi mkali ila kwenye kupiga hapo itakuwa ngumu
Kuna statement inaenda hivi "watu hawajui na hawajui kama hawajui". Asee hujui unachomiss. Ndio naingia home, nimekaribishwa nikaulizwa niandaliwe chakula bedroom (anajua kuwa nimechoka akili Nahitaji utulivu)?hamna ukweli kwenye kukosa vingi.. inategemea na definition ya mke kwako.. But kwa definition yangu hakuna sehemu ya mwanamke kwamba ana muhumu. Ingawa wenye ndoa nawafurahi nawapongeza na ni jambo jema.. ila sio mke atakufanya uwe complete na pia mke anaweza kukufanya ukawa complete
ahaha.. ndio maana nikasema definition ya maisha yako ina mwana mke.. na unaona mwanamke mkeo ni part ya maisha yako.. upo sahihi kabisa.. But kuna definition ingine ya maisha isiyo na mwanamke mke na ina work perfect.. maisha na maana zake ni pana.. hatuwezi wote kuishi kwenye category mojaKuna statement inaenda hivi "watu hawajui na hawajui kama hawajui". Asee hujui unachomiss. Ndio naingia home, nimekaribishwa nikaulizwa niandaliwe chakula bedroom (anajua kuwa nimechoka akili Nahitaji utulivu)?
Unaona kukaribishwa kuulizwa kama ni raha.. wengine hawapo hivyo.. ila hongera mwaisaaKuna statement inaenda hivi "watu hawajui na hawajui kama hawajui". Asee hujui unachomiss. Ndio naingia home, nimekaribishwa nikaulizwa niandaliwe chakula bedroom (anajua kuwa nimechoka akili Nahitaji utulivu)?
Wametufanya tumenyooka Sana Ila sio Hawa akina Juniasafi sanaaa... ndio dozi hizo.. mie nilikuwa nafungwa kamba kwanza.. miguuni na mikononi.. vitu vinapenya hujishiki hata.. alafu hapo hakuna kupewa chakula duh! unakuwa ukiwaza kichapo.. una sita unarudi nyuma..



Kina junia ni kisanga 😀😀Wametufanya tumenyooka Sana Ila sio Hawa akina Junia![]()
Thank you T“Sending you smiles for every moment of your special day…Have a wonderful time and a very happy birthday!”
Make kwanza nchekeSasa unakuta mzazi mshenzi mshenzi.. toka mtoto anakua anaona ushenzi na upumbavvu wa wazazi.. unategemea mtoto awaje.. haya mzazi anamjenge mtoto mazingira hatarishi unategemea inakuwaje.. tunashukuru wazazi walikuwa kama makatili ili tulinyooka.. nakumbuka nilikuwa nikizungua.. nafungwa kamba miguuni na mikononi hakuna kula..unakula stick hadi unakomaaa na hupewi chakula. na hapo yoyote alie kuzidi umri akiona unapuyanga anakuunyoosha hatari.. unafikiri kwa hiyo dozi unarudi tena kosa


,
nilifunguliwa kwasababu ilikua mida ya mzee kurudi tokea hapo nilinyooka... 😀😀😀 siku hizi uki mtaitisha mtoto hivyo mke kama mkuda utamkuta ustawi wa jamiii 😄😄Make kwanza ncheke,
Umenikumbusha na mimi mother alikua mkali sana stick nimechezea za kutosha. Kuna siku ilikua funga kazi, sikumbuki nilifanya kosa gani, ila nilichezea fimbo za kutosha. Baadae nikafungwa kamba nikaachwa nje mida ya jioni ilikua kagiza kanakaribia kuanza.
Nilikua naugulia maumivu, plus nimefungwa kamba siwezi kujikuna, nilikaa nje mpaka kwenye saa3. Muda huo nalia tu na nilikua muoganilifunguliwa kwasababu ilikua mida ya mzee kurudi tokea hapo nilinyooka...
Wazazi wengi wa siku hizi wanachekeana na watoto wao....
Vipi how are you doing lakini ?Thank you T
Yaani Hadi majirani wanakuja kuamuliaHadi mitama babeq![]()

alafu mama alikuwa na mbio balaa ukichomoka mnakula sahani moja Yan akuachi sijui aliwah kushiriki marathon