Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Gallius ananifundisha biology,hahaa... utajigawa mara ngapi sasa si unaenda shuleni kwa Gallius wewe! !!
Kemia ni yako madam mkemia mkuu.
Gallius ananifundisha biology,hahaa... utajigawa mara ngapi sasa si unaenda shuleni kwa Gallius wewe! !!
Hao Bana Wana BBQ pit ya tumboni mwao wanaona Fresh Tu.....wanakauka hawajali😄😄😄 jua kali mwamba anatupia tu..
Yes ma'amBirthday yako leo ?
km we kiongozi uko likizo.hao wengine itakuaje?Nimejipa likizo mpaka Ramadan iishe!
.....
Ewaaumenikumbusha kunarafikiyangu yeye akimuita tu mwanafunzi huku kamkazia jicho Yan mtoto analia tu huko huko aliko hata kabla hajamchapa Wala hajamwambia chochote
Yan had mwanae nyumbani akiita maramoja tu mtoto huyu hapa![]()



😄😄😄 sure maana kwanza pale alivuta ugari dagaa na mlenda akatupia.. akapiga maji akapandishia double Kick tukaanza story.. life la bongo burdan sanaHao Bana Wana BBQ pit ya tumboni mwao wanaona Fresh Tu.....wanakauka hawajali
😂😂😂😂😂😂! wewe Akili zako hizo utaniletea kesi wewe!!Gallius ananifundisha biology,
Kemia ni yako madam mkemia mkuu.
Aisee mm nilikuwa na bahat na kipigoSasa unakuta mzazi mshenzi mshenzi.. toka mtoto anakua anaona ushenzi na upumbavvu wa wazazi.. unategemea mtoto awaje.. haya mzazi anamjenge mtoto mazingira hatarishi unategemea inakuwaje.. tunashukuru wazazi walikuwa kama makatili ili tulinyooka.. nakumbuka nilikuwa nikizungua.. nafungwa kamba miguuni na mikononi hakuna kula..unakula stick hadi unakomaaa na hupewi chakula. na hapo yoyote alie kuzidi umri akiona unapuyanga anakuunyoosha hatari.. unafikiri kwa hiyo dozi unarudi tena kosa
alafu baba alikuwa mwanajeshi,mama nae alikuwa hapendi ujinga nikiharibu



😂😂😂😂😂😂! wewe Akili zako hizo utaniletea kesi wewe!Gallius ananifundisha biology,
Kemia ni yako madam mkemia mkuu.
😄😄😄😄 safi sanaaa... ndio dozi hizo.. mie nilikuwa nafungwa kamba kwanza.. miguuni na mikononi.. vitu vinapenya hujishiki hata.. alafu hapo hakuna kupewa chakula duh! unakuwa ukiwaza kichapo.. una sita unarudi nyuma..Aisee mm nilikuwa na bahat na kipigoalafu baba alikuwa mwanajeshi,mama nae alikuwa hapendi ujinga nikiharibu
nawekwa kwenye korido mama anakaa upende wake na baba upande mwingine Yan hakuna pakutokea unachezea kipigo Hadi unaomba Foo
Yan usalama wako fimbo ziishe na zikiisha lazima ule mitama hata mitatu ndo ukalale![]()
“Sending you smiles for every moment of your special day…Have a wonderful time and a very happy birthday!”Yes ma'am
Katandaza zege mapema kabisaa....mpka lileyuke aaah kumekuchaa ana 'swing low' 😂😂😂😄😄😄 sure maana kwanza pale alivuta ugari dagaa na mlenda akatupia.. akapiga maji akapandishia double Kick tukaanza story.. life la bongo burdan sana
Ah wapi boss ledi..😂😂😂😂😂😂! wewe Akili zako hizo utaniletea kesi wewe!!
Duh mlikuwa mnafanya makosa ya aina gani ukorofi umeanza mda kumbe😬😄😄😄😄 safi sanaaa... ndio dozi hizo.. mie nilikuwa nafungwa kamba kwanza.. miguuni na mikononi.. vitu vinapenya hujishiki hata.. alafu hapo hakuna kupewa chakula duh! unakuwa ukiwaza kichapo.. una sita unarudi nyuma..
Hadi mitama babeq🤣🤣🤣🔥🔥🔥Aisee mm nilikuwa na bahat na kipigoalafu baba alikuwa mwanajeshi,mama nae alikuwa hapendi ujinga nikiharibu
nawekwa kwenye korido mama anakaa upende wake na baba upande mwingine Yan hakuna pakutokea unachezea kipigo Hadi unaomba Foo
Yan usalama wako fimbo ziishe na zikiisha lazima ule mitama hata mitatu ndo ukalale![]()
ukivunja kifaa chochote maabara unalipa!!!Ah wapi boss ledi..
Cha muhimu nisikulipulie tu zile test tubes zako
Sina hela ya kulipa..ukivunja unalipa ohoooooo!!
Mzee wangu alikuwa anakwambia ingia uvungu wa kitanda nusu mpka kiunoni 😂😂😂😂 ukicheza cheza wakati unachapwa wewe unagonga chaga Tu 😂😂😂😄😄😄😄 safi sanaaa... ndio dozi hizo.. mie nilikuwa nafungwa kamba kwanza.. miguuni na mikononi.. vitu vinapenya hujishiki hata.. alafu hapo hakuna kupewa chakula duh! unakuwa ukiwaza kichapo.. una sita unarudi nyuma..