Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,235
- 95,462
ni kweli kabisaAssume huna nguo nyumbani kwako. Kila ukihitaji kuvaa nguo (na lazima uvae) unaenda kuomba/kununua nguo. Hizo taabu utakazozipata hazisemeki.
Sasa mke ni zaidi ya nguo. Ni rafiki, ni partner, ni usingizi, ni mshauri, ni mshindani n.k Unakosa vingi asee