CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
What went south dearIt was a whirlwind, but I’m hanging in there, how about you ?
What went south dearIt was a whirlwind, but I’m hanging in there, how about you ?
mimi mtoto wangu huwa nampa .challenge.support na kum inspireMtoto ukijua anapenda sana vitu gani, unaweza kutumia kama kumrekebisha makosa anayofanya kwa kutompatia hivyo vitu, hio ni adhabu kubwa mno.
Hata shuleni watu waliomba kuchapwa kuliko adhabu.
Mtoto ukimpiga utamtengenezea kutokuwa na confidence na kuwa sugu, na mimi napenda mtoto awe na confidence.
Vitoto vingi ukikachanganya na wenzie ama watu unakuta kamejikunyata utasema kanasikia baridi, hakana confidence kabisa, mtoto akimuona mwalimu hata mtaani anaogopa na kukimbia hovyo, akiona mwalimu anajua ni kipigo tu pasipo hata kosa , ye anajua kazi ya mwalimu ni kuchapa, anaona alipelekwa shule akachapwe.
Lakini kuna namna bora na pia ni elimu pana namna ya kumlea mtoto, vijana huwa wanaishia kusoma namna ya kumkojoza mwanamke kitandani, na kibaya zaidi vijana wa sasa(sisi) hatuna hata muda wa kujifunza namna ya kulea watoto, umekutana na mdada hotelini, mna date, unamleta nyumbani, mimba, kazaa. Unakuwa unajisifia tu "nina mtoto" lakini kwenye malezi 0.
Tena bora sisi kuna hawa wa tiktok ndio hatari zaidi.
halafu ukute wa huku kwetu.kwa mama zakariaMtoto akurushie begi usoni adhabuyake nimnyime gari asichezee
Hta malaika watashangaa Kuna makosa ya kukanya kwa style iyo watoto wa sasahiv kwanza wanatukana balaa wew mzazi mwenyew matusi mengine unakuta huyajui yani mapya
Mtoto mzazi akitoka kilio aende nae sehemu zingine sio za kwenda na watoto
Adabu lazima iwepo yani fimbo ni lazima adhabu zingine second option
Just a crappy dayWhat went south dear
Inategemea na kosa mkuu, kuna makosa ni fimbo moja kwa moja na mengine sawa unaweza fanya hvyo.Mtoto ukijua anapenda sana vitu gani, unaweza kutumia kama kumrekebisha makosa anayofanya kwa kutompatia hivyo vitu, hio ni adhabu kubwa mno.
Hata shuleni watu waliomba kuchapwa kuliko adhabu.
Mtoto ukimpiga utamtengenezea kutokuwa na confidence na kuwa sugu, na mimi napenda mtoto awe na confidence.
Vitoto vingi ukikachanganya na wenzie ama watu unakuta kamejikunyata utasema kanasikia baridi, hakana confidence kabisa, mtoto akimuona mwalimu hata mtaani anaogopa na kukimbia hovyo, akiona mwalimu anajua ni kipigo tu pasipo hata kosa , ye anajua kazi ya mwalimu ni kuchapa, anaona alipelekwa shule akachapwe.
Lakini kuna namna bora na pia ni elimu pana namna ya kumlea mtoto, vijana huwa wanaishia kusoma namna ya kumkojoza mwanamke kitandani, na kibaya zaidi vijana wa sasa(sisi) hatuna hata muda wa kujifunza namna ya kulea watoto, umekutana na mdada hotelini, mna date, unamleta nyumbani, mimba, kazaa. Unakuwa unajisifia tu "nina mtoto" lakini kwenye malezi 0.
Tena bora sisi kuna hawa wa tiktok ndio hatari zaidi.
Sawa lakini isiwe ndio option pekee kumpiga kila wakati, kuhusu matusi wazazi wengine huwa ndio wanawafundisha "mbwa wewe" n.k. ila kiukweli sisikiagi wazazi wa kiume wakitukana kama wa kike.Mtoto akurushie begi usoni adhabuyake nimnyime gari asichezee
Hta malaika watashangaa Kuna makosa ya kukanya kwa style iyo watoto wa sasahiv kwanza wanatukana balaa wew mzazi mwenyew matusi mengine unakuta huyajui yani mapya
Mtoto mzazi akitoka kilio aende nae sehemu zingine sio za kwenda na watoto
Adabu lazima iwepo yani fimbo ni lazima adhabu zingine second option
Kabisa.kha kunawazazi wanashida aisee lkn wanazitakaga wenyew Yan mtotowangu anirushie begi usoni
![]()
Mm viboko vimeninyooshamimi mtoto wangu huwa nampa .challenge.support na kum inspire

labda utafute wazee mapema wa kukuombea msamaha
kweli kabisa nafunga zote ziliboki.. najina zuri kabisa Osman alafu nazingua 😄😄😄😄😄😄 kesho na kuendelea naanza.. unikumbushe kumbushe basiUnafunga kesho mpendwa🤪
Wewe huyuhuyu?Hahahaaa.... Sicheki huwezi amini... nakua uso mbuzi!!!
Ooh junia jamani. Mbona umekaa kwenye sinia wakati wageni bado wanakula? Junia mkorofi jamani yaani
View attachment 2175727

hatari kaka, hawa wazazi wa sasa baadhi yao wanaharibu watoto...Yaani Hadi majirani wanakuja kuamuliaalafu mama alikuwa na mbio balaa ukichomoka mnakula sahani moja Yan akuachi sijui aliwah kushiriki marathon
![]()

AiseeMm viboko vimeninyoosha
Kwanza mda wa kurudi shule lazima niongeze masaa mawili Yan kucheza njian
Nikapewa mda muda nusu saa baada yakutoka shule niwe nimefika home nikichelewa stick sasahiv Yan sasa naenda na muda balaa
Sema si sikuhiz wanapanda schoolbus
Kosa la pili kugawa vyakula ovyo yani mama apike mm nisiwape rafikizangu chakula aisee sio mm nilikuwa napewa kipigo sasahiv napanga bajeti Hadi ya keshokutwa
La tatu kupika Yan darasa la nne weekend nasonga ugali wa kula watu wanne na kwa muda saa Saba ugali umepikwa mama anapika mboga tu na chakula Cha jion sasa wew cheza had saa nane watu hawajalalabda utafute wazee mapema wa kukuombea msamaha
![]()
Sasahiv bint anamliza darsa la Saba hajui kutoa chombo alichokula mwenyew chakula aah wew sio mamaangu mm

Mtoto akurushie begi usoni adhabuyake nimnyime gari asichezee
Hta malaika watashangaa Kuna makosa ya kukanya kwa style iyo watoto wa sasahiv kwanza wanatukana balaa wew mzazi mwenyew matusi mengine unakuta huyajui yani mapya
Mtoto mzazi akitoka kilio aende nae sehemu zingine sio za kwenda na watoto
Adabu lazima iwepo yani fimbo ni lazima adhabu zingine second option

aisee 
, Kwamba umnyime gari baada ya kupigwa na begi...Kwanza hiyo jeuri ya kurusha begi usoni sijui anaitoa wapi aisee!kha kunawazazi wanashida aisee lkn wanazitakaga wenyew Yan mtotowangu anirushie begi usoni
![]()
Nimemkumbuka LizarazuOoh junia jamani. Mbona umekaa kwenye sinia wakati wageni bado wanakula? Junia mkorofi jamani yaani
View attachment 2175727

Eti we Dullah achaMambo kama hayo sasa...
Kuna dogo jirani na ofisi ya Dada nae yuko namna hyo.
Huwa akitoka shule akamkuta Mama yake amekaa na wenzake kwenye mkeka anavua begi anamrushia Mama yake usoni, hapo unakuta begi lake lina takataka tofauti vichuma, vibox, taa mbovu na vingine. Akiwa anaokota hvyo vitu ili kuweka kwa begi nikimkataza Mama yake anasema huyo hawezi kukubali anamuacha.
Akiagizwa kitu anakuja anarusha tu Mama yake anamwambia we Dulla acha lakini hamna hatua anayoichukua ya ziada namuangaliaga tu nasema ngoja akue...

aisee
, Kwamba umnyime gari baada ya kupigwa na begi...
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Et Junia wew usinipige na begi nitakunyima garilako lile usichezee jamani Junia usimkaripie atalia

kudadek