Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Tatizo huwezi kujua utamu wa math mpaka usolve arithmetic progression. Je una ka eksipiriensi ka kuishi na mwanamke?ahaha.. ndio maana nikasema definition ya maisha yako ina mwana mke.. na unaona mwanamke mkeo ni part ya maisha yako.. upo sahihi kabisa.. But kuna definition ingine ya maisha isiyo na mwanamke mke na ina work perfect.. maisha na maana zake ni pana.. hatuwezi wote kuishi kwenye category moja
Hapo unaamua utulie usikilizie tuMzee wangu alikuwa anakwambia ingia uvungu wa kitanda nusu mpka kiunoniukicheza cheza wakati unachapwa wewe unagonga chaga Tu
![]()



😀😀😀pia inategema una define vipi utamu, raha, amani, joy.. kama hayo mambo kwako yanategemea mkeo sawa jambo jema.. but furaha yangu haifungamani na mtu na sihitaji mtu ili kuwa na furaha au amani au joyTatizo huwezi kujua utamu wa math mpaka usolve arithmetic progression. Je una ka eksipiriensi ka kuishi na mwanamke?
Kama sio jelasiku hizi uki mtaitisha mtoto hivyo mke kama mkuda utamkuta ustawi wa jamiii
![]()





You might have a bigger problem than I thoughtNimeishi na mwanamke wa kwanza kwa miaka mitatu, mwingine nikaja kuishi nae miaka miwili mwingine tena miwili.. kama mke na mume.. mwanamke kwangu ni muhimu sana na ndoa ni muhimu sana.. But sio lazima sana na sio muhimu sanaa..
Mzee wangu alikuwa anakwambia ingia uvungu wa kitanda nusu mpka kiunoniukicheza cheza wakati unachapwa wewe unagonga chaga Tu
![]()



Wakina junya hamna kituWametufanya tumenyooka Sana Ila sio Hawa akina Junia![]()

Kabisa wanawalea watoto kilaini, matokeo yake mtoto anakua ka wakina junyasiku hizi uki mtaitisha mtoto hivyo mke kama mkuda utamkuta ustawi wa jamiii
![]()
.Happy Birthday Mkuu...And birthday ended with this and boondocks season 3View attachment 2175661
😄😄😄 Mie sina tatizo hata moja.. ila huenda unatatizo la kile unacho experience wewe kwamba wote wa experience hivyo kitu ambacho sio sahihi.. hatuna formula sawa ya maisha.. wewe sio kwanza kuoa na sio wa mwisho kuoa.. wapo walio oa wakaja na mbwe kama wewe na sasa wanalia.. ndio maana kama muelewa ungekuwa ushapata na maanisha nini.. cha kwanza sijapingana na ndoa sijapinga anae oa. na nimesifia ndoa na wanaoa oana.. but nimekueleza sio lazoma life pattern hazipo sawaYou might have a bigger problem than I thought
Umeuliza experience nimekupa na kwenye maisha yangu siku zote huwezi kuta nina underestimate mwanamke ndoa au mausiano.. but sio wote tuna pattern sawa.. kitendo cha kulazimisha tuone kwamba una enjoy sana ndoa kuliko walio nje ya ndoa ndio tatizo hilo na kitu ambacho sio sahihi.. wapo walio nje ya ndoa ja mahusiano wana enjoy maisha na wanafuraha na maisha yao kuliko wewe..You might have a bigger problem than I thought
I am doin okay,, how was your dayVipi how are you doing lakini ?
Kama sio jela
Kunasiku kunamama na mwanae ana miaka kama nane hivi
Mtoto anashusha nguo kwenye enga Mara apande kwenye kiti ajirushe
Mama mtu sasa "wew Junia acha iyo"
Junia njoo Basi hapa
Junia wew usishike hapo
Nilichukia nikasema looh angekuwa mamaangu kashanipiga mtama muda Sana Hana muda wa kupoteza![]()
Hadi mdogowangu akaingilia Kati akamuuliza dada huyu mtoto umemzaa mwenyew au umepewa umlee maana Junia Junia tumechoka tutamfumua mwanao hapa utupe kesi![]()


Mambo kama hayo sasa...Mtoto ukijua anapenda sana vitu gani, unaweza kutumia kama kumrekebisha makosa anayofanya kwa kutompatia hivyo vitu, hio ni adhabu kubwa mno.Kabisa wanawalea watoto kilaini, matokeo yake mtoto anakua ka wakina junya.
Thanks manHappy Birthday Mkuu...
Mambo kama hayo sasa...
Kuna dogo jirani na ofisi ya Dada nae yuko namna hyo.
Huwa akitoka shule akamkuta Mama yake amekaa na wenzake kwenye mkeka anavua begi anamrushia Mama yake usoni, hapo unakuta begi lake lina takataka tofauti vichuma, vibox, taa mbovu na vingine. Akiwa anaokota hvyo vitu ili kuweka kwa begi nikimkataza Mama yake anasema huyo hawezi kukubali anamuacha.
Akiagizwa kitu anakuja anarusha tu Mama yake anamwambia we Dulla acha lakini hamna hatua anayoichukua ya ziada namuangaliaga tu nasema ngoja akue...


kha kunawazazi wanashida aisee lkn wanazitakaga wenyew Yan mtotowangu anirushie begi usoni 


Ooh junia jamani. Mbona umekaa kwenye sinia wakati wageni bado wanakula? Junia mkorofi jamani yaaniKabisa wanawalea watoto kilaini, matokeo yake mtoto anakua ka wakina junya.








It was a whirlwind, but I’m hanging in thereI am doin okay,, how was your day
, how about you ?Mtoto akurushie begi usoni adhabuyake nimnyime gari asichezeeMtoto ukijua anapenda sana vitu gani, unaweza kutumia kama kumrekebisha makosa anayofanya kwa kutompatia hivyo vitu, hio ni adhabu kubwa mno.
Hata shuleni watu waliomba kuchapwa kuliko adhabu.
Mtoto ukimpiga utamtengenezea kutokuwa na confidence na kuwa sugu, na mimi napenda mtoto awe na confidence.
Vitoto vingi ukikachanganya na wenzie ama watu unakuta kamejikunyata utasema kanasikia baridi, hakana confidence kabisa, mtoto akimuona mwalimu hata mtaani anaogopa na kukimbia hovyo, akiona mwalimu anajua ni kipigo tu pasipo hata kosa , ye anajua kazi ya mwalimu ni kuchapa, anaona alipelekwa shule akachapwe.
Lakini kuna namna bora na pia ni elimu pana namna ya kumlea mtoto, vijana huwa wanaishia kusoma namna ya kumkojoza mwanamke kitandani, na kibaya zaidi vijana wa sasa(sisi) hatuna hata muda wa kujifunza namna ya kulea watoto, umekutana na mdada hotelini, mna date, unamleta nyumbani, mimba, kazaa. Unakuwa unajisifia tu "nina mtoto" lakini kwenye malezi 0.
Tena bora sisi kuna hawa wa tiktok ndio hatari zaidi.


