Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
hawana lolote.. nyoka hujihami tu.. ukosee mahesabu ndio tafraniMziki wao si unaujua lakini
hawana lolote.. nyoka hujihami tu.. ukosee mahesabu ndio tafraniMziki wao si unaujua lakini
chumbageni 😀😀uswazi ipi?
Sipatan nao kabisa, nikiona hata picha tu kama hapo juu nashtuka yaanhawana lolote.. nyoka hujihami tu.. ukosee mahesabu ndio tafrani
Kusoma ndiyo
Mtihani nitatafuta kituo.
Kuna fimbo kwa private candidate?
Mimi nadhani ningekuwa nishaumiza watoto wa watu[emoji19]walimu kazi mnayo
dah.wana changamoto nyingi sanaWalimu wana kazi si mchezo
🙄🙄 PoleSipatan nao kabisa, nikiona hata picha tu kama hapo juu nashtuka yaan
Anne, wewe kama mimi nina mkono mwepesi kubonda mtu. Ualimu haunifai kabisa nitapata tu kesiMimi nadhani ningekuwa nishaumiza watoto wa watu[emoji19]
mm kwa hasira na huu ujeuri wangu,ningefungwa .maana dahMimi nadhani ningekuwa nishaumiza watoto wa watu[emoji19]
Kama hakuna fimbo sawa[emoji847]Hakuna [emoji3]
Tena wewe nitakuwa special treatment na bonus ya transport allowance bure kabisa…
Shukrani.[emoji849][emoji849] Pole
Kwanza ningekuwa nakaukiwa na sauti na kufoka.Anne, wewe kama mimi nina mkono mwepesi kubonda mtu. Ualimu haunifai kabisa nitapata tu kesi
uzuri unajilipa posho tena kama hao wa form six.. 😬😬😬dah.wana changamoto nyingi sana
Hizohizo zinakushinda wewe. Tulia uwakilishwe na waliokuzidituwashukuru kwa lipi nyie [emoji2060][emoji2060][emoji2060][emoji2060].. mbio za sakafuni
hamna lolote kelele tuHizohizo zinakushinda wewe. Tulia uwakilishwe na waliokuzidi
[emoji23][emoji23] na kuna watoto wana maudhi utajikuta unapata kesi hivi hiviKwanza ningekuwa nakaukiwa na sauti na kufoka.
Jinsi nilivyo na hasira za karibu afu niwe mwalimu[emoji23]tungeongea mengine.
Mngesikia tu mwalimu na mwanafunzi wamezichapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mm kwa hasira na huu ujeuri wangu,ningefungwa .maana dah
Mimi hata wanangu nyumbani kuna namna nimewatengeneza wanaenda kwenye mstari ninaotaka.[emoji23][emoji23] na kuna watoto wana maudhi utajikuta unapata kesi hivi hivi
cjaelewauzuri unajilipa posho tena kama hao wa form six.. 😬😬😬
Na watoto wa siku hizi ni wajeuri yaan kama wanaambizana vileMimi hata wanangu nyumbani kuna namna nimewatengeneza wanaenda kwenye mstari ninaotaka.
Wakitoka nje na hapo wameumia.