Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Tupo wengi aiseeSipatan nao kabisa, nikiona hata picha tu kama hapo juu nashtuka yaan
Aliingia mojaa hadi ndani .. aisee nilipiga kelele na kukaa nje siku nzima maana hakuonekana dah [emoji3064]