Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,954
- 136,724
Mungu awasaidie kwakweliYani hawa watoto ni vitombile
balaaa.... kesi za Mapenzi ndio zimejaaa ... Mungu awasaidie tu!!
Mungu awasaidie kwakweliYani hawa watoto ni vitombile
balaaa.... kesi za Mapenzi ndio zimejaaa ... Mungu awasaidie tu!!
hahahaha.ahsante! Poleni...
Mungu akufanyie wepesi, ndoto zako zitimie.Qaswida kali sana hii sijapata kuona.
Ipo nyingine hii japo haihusiani na Ramadhan.
Hii ngoma lazima ije kupigwa harusini kwangu
Mrefuuuu uwii
Kwa hio tunafanyaje sasa..Na nina ubao balaaa!Asante
Kama nauona mnyama Jaguar kwa mbali umepaki au macho yangu tuFortnox kijiweni na wana..View attachment 2175377
😀😀huyo mpitaji nimepiga picha kiupande nisije choma mkanda wangejua eneo nimelikataKama nauona mnyama Jaguar kwa mbali umepaki au macho yangu tu
Asante mamy hio ipo huwa tunawapa " morning quiz'Wawekeeni muda wa ziada kwa ajili ya kusolve past papers kwa somo moja kila siku hapo walimu inabidi mjitoe Sana
mfano mwalimu mwenye somo husika aingie darasani mapema asubuh kabla ya muda wa vipind kuanza atoe maswali wafanye wakusanye mchna waendelee na vipindi vya kawaida huku mwalimu nawe unapata muda wa kupitia kazi zao muda wa jioni baada ya vipindi unafnya masahihisho
Nafikiri hii itakuwa poa muhimu maswali yawe ya mitihani ya necta ya miaka iliyopita
Then mwisho wa wiki walimu masomo wa darasa Hilo mnakaa pamoja mnafanya tathmini
Hahaa... saivi ndio nakula hapa! KaribuKwa hio tunafanyaje sasa..


show za kibabe watu wa mikoani hawana masikharaHahaa... saivi ndio nakula hapa! Karibu
ThanksHahaa... saivi ndio nakula hapa! Karibu