Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee ni huyo tu na mnyaki feki mwenzie Aristotee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna clip nimeona mtu anasema sasa wewe huna rafiki mnyaki unategemea nini?
Ukipata sherehe au msiba nani atakusaidia??

Eti zamani walisemaga sherehe ni watu
Waliogopa tu kueneza ukabila tu kwa sababu watu wanaosemwa hapo ni wanyakyusa[emoji23][emoji119]
 
Wanyaki ni watu na nusu. Kwenye Sherehe watalia kweli, kwenye shughuli watashughulika haswaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na siachi Bina
Siyo kwa ile Algebra umeshusha aseee

Jinsi unavyopendeza wewe ukinipigisha zile calculus chap kwa haraka nadaka
[emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]chawa km chawaa!!!sikuwezi Mimi!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom