Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
😂😂😂😂Muone...haya kaa mkao wa kutazamaEwaaaaaa!! Nakuaminia huwezi niangusha! 🙇 Nipo Nasubiria kuburudisha nafsi yangu na selfii yako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz do the needful!!
😂😂😂😂Muone...haya kaa mkao wa kutazamaEwaaaaaa!! Nakuaminia huwezi niangusha! 🙇 Nipo Nasubiria kuburudisha nafsi yangu na selfii yako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz do the needful!!
🤸🤸🤸😘nipo hapa 🙇🙇🙇🙇🙇😂😂😂😂Muone...haya kaa mkao wa kutazama
Ngoja nisitoke hapa aiseeLeo utaniona basi shaka ondoa 😍
Naanzaje kutoa hujaona na wewe ndo umenitoa mafichoni mwenyewe 😃😃Ukiweka usitoe mpaka nione 🥰
Vipi saivi au badae mida mida??? Nataka niwe nawajibika huku nachungulia chungulia etiNaanzaje kutoa hujaona na wewe ndo umenitoa mafichoni mwenyewe 😃😃
Badae badae hiviii sawa eeh 🥰🥰Vipi saivi au badae mida mida??? Nataka niwe nawajibika huku nachungulia chungulia eti
Hata hivo Nimezirudia mkuu! hakuna mpyaMbona leo picha zako zinanipita tu dah!![]()
Basi uko vizuri le madame! Hakuna sababu ya kuweka mambo rohoni.Hapana bro hilo tu mbona dogo sana huwa napuuzia sana vitu mie hata wooote hapa muanze kunitukana Sijui kunichamba kiswahihi kizungu hata kikwenu mie nawacheka tu naendelea na mishe zangu kama siwaoni
Kabisa..Basi uko vizuri le madame! Hakuna sababu ya kuweka mambo rohoni.
Ndio ndio Katy 🤩Naanzaje kutoa hujaona na wewe ndo umenitoa mafichoni mwenyewe 😃😃
Sawa rafiki! will be here waiting 🙇Badae badae hiviii sawa eeh 🥰🥰
Asee kumbe wewe ni pisi ya haja kabisa mkuu. Ngoja nianze kunyatia nizibe pengo la smart911niliweka hii mamyView attachment 2168250
Wamefungua chuoococastic shos wherayuuuu?? miss you shos!
Nahitaji maombi juu ya hilo nkamu. Mazoea mabaya kweli
Lol Ndiomana kumbe!!! Acha apige book kwanza!







Camera haidanganyi mamaKweli tena.. kamera zinanisitiri tu mie kimbaumbau Anne akasome!!


