Jamani jamani...Nina mpango wa kupumzika kwa muda kwanza!!! Thhen nitarudi
Hahah, napenda wali maharage sio poa.Wacha weee. Mfungo mwema brod darling
Nahitaji maombi juu ya hilo nkamu. Mazoea mabaya kweliNkamu nimecheka![]()
🤣🤣🤣🤣Hahah, napenda wali maharage sio poa.
Wewe na mpambe wako, mkipaka rangi mnatunyasanyasa sana🤣🤣🤣Punguzeni maneno wekeni pichaa!! Saint Anne naomba removal! Hii rangi ishanichoshaView attachment 2168217
Hahaaa!;!huyu ana udugu na mke wa aristotee si bureWeee ni huyo tu na mnyaki feki mwenzie Aristotee![]()
Kipaji kuvaa soksi bestMmmh ngoja nivae vyangu, nilishavua![]()
Anne boss kaweka mkonoPunguzeni maneno wekeni pichaa!! Saint Anne naomba removal! Hii rangi ishanichoshaView attachment 2168217



Yule dada anavyoonekana mstaarabi, mume sasaHahaaa!;!huyu ana udugu na mke wa aristotee si bure
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hapana bro hilo tu mbona dogo sana huwa napuuzia sana vitu mie hata wooote hapa muanze kunitukana Sijui kunichamba kiswahihi kizungu hata kikwenu mie nawacheka tu naendelea na mishe zangu kama siwaoniJamani jamani...
Isije kuwa kale ka komenti kangu tu le madame! Huwa nina mautani mengi tu mama!
Ahsante sana dear,kizuri sana!;napendaga love stories ila kusoma mvivuuuHicho sijakisoma,mimi am more into crime stories,romcom na napenda sana biography,jitahidi umalize,kusoma vitabu kuzuri sana japo majukumu nayo yanatubana...
TupooooooHalafu tulikumis sana prezdaa wa mshepu wakoo!!! hahhaaaaaa....kaa hapohapo usitokeee
Unakomaza nyayo ilo ujue 😂Wewe ni pacha wangu kwenye kuvua viatu.
Hongera binti Zuma![]()
Yule dada anavyoonekana mstaarabi, mume sasa


yaani Mungu humppa wa kufanana!lakiniHuu ni uongo wa mchana kweupeehata mie ni filter na kamera tu dia mie kimbaumbau tu!
Wekaàaaaa!!!Yna2 bado upo??? haya dakika sifuri
