Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nipo kusubiri mshape wa mahoo..haya lete vituuuu..macho yangu yapo tayari kuonana uumbaji wa Mungu
Tatizo sina picha mpya sasa!!! Hebu tupia kwanza shepu Moja matata sana..
Halafu kuna nguo moja uliivaa sikumoja niliielewa sana!! Fanya mpango uinipasie asee ni jamsuti ya pinki kasheshe kwahilo shepu lako sijui kama itanitosha!!!!
 
Tatizo sina picha mpya sasa!!! Hebu tupia kwanza shepu Mona matata sana..
Halafu kuna nguo moja uliivaa sikumoja niliielewa sana!! Fanya mpango uinipasie asee ni jamsuti ya pinki kasheshe kwahilo shepu lako sijui kama itanitosha!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣..acha Basi..wenye shape natoka Sasa!!!...ngoja nigoogle kapicha kamoja katraaam usafishe macho fear
 
Back
Top Bottom