Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Teh kuna aunt yangu mmoja kuna siku mtu alikuja nyumbani kwake; hakumkuta aunt. Wakati mgeni anaondoka; akakutana na aunt njiani ndiyo kumwambia kuwa ametoka nyumbani kwake ila amemkuta mtoto wa aunt wa kiume (mjomba). Aunt alikuja kunisimulia hadi anatamani kulia " Mimi naweza kuzaa Mzee kama yule"? Mumewe ni mbegu fupi ya kibena. Nilicheka sana aisee, bado msongamano wa Shikamoo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii comment jamani
 
Nitasimama na boss ledi iwe jua iwe mvua [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Boss ledi ni pisi kali iliyoumbwa na mwenyezi Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lionee!wanyaki mnapenda uchawaaa eehhh[emoji57][emoji21][emoji57][emoji50][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom