Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,305
Lakini kila mtu ana Uhuru wa kukomenti anavojisikia as long as havunji sheria wala kutukana mtu Japo najua kabisa Anne anatania tu nothing serious isikuumize kichwa!!Wengine tunataka ladha tofauti, usituzibie rizki mama!
Halafu wasiwasi wako tu mkuu sie wanawake wenyewe walaaa hatuna Habari wala hio inferiority complex mbona tunaselfika zetu kwaraha zetu! Usituharibie uzi na kuleta uchochezi mkuu!
Binafsi naona kila anaepost humu huwa anasifiwa in one way or another... Watu kibao wanasifiwa wengine shingo wengine lips wengine miguu ya bia wengine shepu wengine ndevu nyingi zimekaa vizuri wengine rangi hata wanaume pia kibao tunawasifia na haifanyi wengine tushindwe kuselfika kisa hatujasifiwa hapana. Binafsi naona Amani tele imetamalaki mahala hapa sema wachache tu ndio mtauvuruga uzi!
#Freedomofexpression#
Muwe na mchana mwema!🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️











