Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sipati picha siku nikifunga 3 kavu, mtanikuta "mwimbili".

Nafikiri maandiko mengi zaidi yatategemea na kusudi la mfungo wake. (Neno la kusukumia maombi ya aina fulani, then kuna maandiko general tu)
Mimi mtaniokota kwenye maporomoko ya milima ya kawetere Uyole.
24 hrs tu asubuhi zilipobaki dakika chache nilitetemeka kama mbwa mgonjwa mwenye njaa [emoji23][emoji23][emoji23].


Yah, inategemea na dhamira yake kufunga.
Mimi nimemtia tu moyo .
 
Atafanya wadada was selfika wawe inferior, sisi tunataka kuona vyote[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzuri humu ni mashujaa sana.
Hadi Mimi mwenyewe shujaa aisee..na miguu yangu kama muwa ya V ila huwa naweka tu.


Waweke tu..
Ntawapamba watapambika[emoji23]
 
Back
Top Bottom