Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi mtaniokota kwenye maporomoko ya milima ya kawetere Uyole.
24 hrs tu asubuhi zilipobaki dakika chache nilitetemeka kama mbwa mgonjwa mwenye njaa [emoji23][emoji23][emoji23].


Yah, inategemea na dhamira yake kufunga.
Mimi nimemtia tu moyo .
24hrs huwa nazimudu. Tukiendaga prayer mountain tunafunga Ile asubuhi, jioni tunapanda mlimani; hapo ni hadi alfajiri tunafungulia then tunashuka zetu
 
Na hatutumi tena sasa maana hatuna chuchu misambwanda wala guu guu[emoji28][emoji28][emoji1]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Yaani wewe Bina na ile Algebra halafu super Tall
Kamwili portable na hapo una Reynavero[emoji3059]..siyo kimbaombao sana kama Mimi halafu siyo tipwatipwa
Na ile dressing code yako[emoji91][emoji91]
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe Madam Algebra[emoji3059][emoji3059]
Kale kapicha ka sketi ya marinda ninako ..siku Moja nitakatumia kama avatar yangu humu[emoji91]
 
Back
Top Bottom