Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lakini kila mtu ana Uhuru wa kukomenti anavojisikia as long as havunji sheria wala kutukana mtu Japo najua kabisa Anne anatania tu nothing serious isikuumize kichwa!!
Halafu wasiwasi wako tu mkuu sie wanawake wenyewe walaaa hatuna Habari wala hio inferiority complex mbona tunaselfika zetu kwaraha zetu! Usituharibie uzi na kuleta uchochezi mkuu!

Binafsi naona kila anaepost humu huwa anasifiwa in one way or another... Watu kibao wanasifiwa wengine shingo wengine lips wengine miguu ya bia wengine shepu wengine ndevu nyingi zimekaa vizuri wengine rangi hata wanaume pia kibao tunawasifia na haifanyi wengine tushindwe kuselfika kisa hatujasifiwa hapana. Binafsi naona Amani tele imetamalaki mahala hapa sema wachache tu ndio mtauvuruga uzi!

#Freedomofexpression#
Muwe na mchana mwema![emoji2216][emoji2216][emoji2216]
Mimi na Shimba tunaanda sanamu lako,,tunalibandika pale juu kwenye timeline[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzuri humu ni mashujaa sana.
Hadi Mimi mwenyewe shujaa aisee..na miguu yangu kama muwa ya V ila huwa naweka tu.


Waweke tu..
Ntawapamba watapambika[emoji23]
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣! Haya ebu tupia our v shaped legs tupia nione mdogo wangu!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Haya ebu tupia our v shaped legs tupia nione mdogo wangu!!
Mwee
Ipo huko juu niliwekaga[emoji1787].



Kwanza kabla sijaongea lolote..naomba nifungue Uzi na picha ya boss lediiii
Uzi uteteme[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom