Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Vijipu nijuavyo ni mchafuko wa damuSiyo chunusi
Vinakuwa vijipu.
Ngoja wataalamu waje kunielekeza mafuta yatakayoendana na ngozi yangu hasa mazingira ya joto Kali
Huwa nafutuka limwili kubwaa; naanza kuitwa mama wa kinyamwezi na shikamoo zinaongezeka mweehBora tu usiwe shangazi aiseee
Tuendelee kubaki Mabinti![]()
Vile vijipu vidogo..panakuwa kama pana mafuta,panatengeneza kipele badaye kinakuwa kijipu ..nikikitoa kikiisha baada ya muda kinaanza sehemu nyingine.
Kwahiyo vinarotate tu
Vile vishangazi vidark spots vilikuwaga vichache tu ila naona vinazidi.
Kmmmk, hio dabo kibini sio poa.
Kwa nini tena boss?😀😀😀 RIP 9.8ms squared inazikwa mazima...
Huwaga siwezi kujitoaOkay
Ukijitumbua chunusi inahitajika usijishike tena uso hadi unawe na sabuni kuondoa vibacteria au utumie black head remover kama hii kuzuia chunusi isiote sehemu nyingine .
Hivi vitube havifai ,ukitumia unakuwa hadi mweupe ila ukiacha kutumia uso unarudi kama fenesi . nakushauri bora uonane na dermatologist au mshauri wa ngozi ili akupatie kitu ambacho kitakimusaidia kupona kabisa hivyo .View attachment 2167382
maana unakuta kinauma uso mzima.Nina dada yangu mkubwa kuna muda huwa ananenepa had kilo90 akifika mahala anaitwa mama anachukiaaa, asa hiv anafanya dietHuwa nafutuka limwili kubwaa; naanza kuitwa mama wa kinyamwezi na shikamoo zinaongezeka mweeh

Yan nilihisi tu mchanaMsubhate
MweeeHuwa nafutuka limwili kubwaa; naanza kuitwa mama wa kinyamwezi na shikamoo zinaongezeka mweeh
Mimi mwenyewe nilivyoona nikajua hapa tunapigwa kamba.Yan nilihisi tu mchana
Nikamuita na Hazard aje amuone Msubhate wake![]()
Mtk dili kwani eeh? Aah emu tunenepe dogo

Losheni zinazokufaa wewe ni za 🍋 lemon na usiku usilale hakikisha una nawa uso wako kwa sabuniHuwaga siwezi kujitoamaana unakuta kinauma uso mzima.
Huwa natolewa na sisiter wangu..
Basi nikikipona kinapotea kabisa na hakiachi alama ila baada ya muda kinaota pengine.
Kuna mafuta Fulani ya kucontrol mafuta nimeanza kuyatumia Kwa wiki kadhaa naona somehow yamesaidia vijipu kupungua
Ila ngoja wajuzi waje wanipe mbinu asilia .
Mimi dada yangu ana 75 ila namuona mmama..angalau ameanza mazoeziNina dada yangu mkubwa kuna muda huwa ananenepa had kilo90 akifika mahala anaitwa mama anachukiaaa, asa hiv anafanya diet![]()
Huwaga siwezi kujitoamaana unakuta kinauma uso mzima.
Huwa natolewa na sisiter wangu..
Basi nikikipona kinapotea kabisa na hakiachi alama ila baada ya muda kinaota pengine.
Kuna mafuta Fulani ya kucontrol mafuta nimeanza kuyatumia Kwa wiki kadhaa naona somehow yamesaidia vijipu kupungua kutokea
Ila ngoja wajuzi waje wanipe mbinu asilia .
Teh kuna aunt yangu mmoja kuna siku mtu alikuja nyumbani kwake; hakumkuta aunt. Wakati mgeni anaondoka; akakutana na aunt njiani ndiyo kumwambia kuwa ametoka nyumbani kwake ila amemkuta mtoto wa aunt wa kiume (mjomba). Aunt alikuja kunisimulia hadi anatamani kulia " Mimi naweza kuzaa Mzee kama yule"? Mumewe ni mbegu fupi ya kibena. Nilicheka sana aisee, bado msongamano wa Shikamoo.Nina dada yangu mkubwa kuna muda huwa ananenepa had kilo90 akifika mahala anaitwa mama anachukiaaa, asa hiv anafanya diet![]()
Mmh hapa kila siku naambiwa niongezeke kidogoMimi dada yangu ana 75 ila namuona mmama..angalau ameanza mazoezi
Wacha nimpe somo kidogoCaught...redi hendedi![]()
Ulijua ni kamba na bado ukaiwashia 🔥 wa sifa 🤣🤣🤣🤣Mimi mwenyewe nilivyoona nikajua hapa tunapigwa kamba.
Tuanze diet za kunenepa
Shepu tayari zipo![]()