Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Ugali situmii sana
Labda wali ndo natumia sana sema huwa najitahidi nile mapema kama saa moja na nusu hivi hadi mbili .
Sawa
Ugali situmii sana
Labda wali ndo natumia sana sema huwa najitahidi nile mapema kama saa moja na nusu hivi hadi mbili .
NipoWige yuko wapi Jamani
[emoji1787]Ukioa na majaribu ndio yanaongezeka shetani bwana
Haleluya binti Abiud
Umesema[emoji849]Kwenda zako. Hatuna vishundu na tunapost[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeshindikana Kila siku🤣🤣Umesema[emoji849]
Kushindikana umeanza lini[emoji1787][emoji848]
HakikaNyie nawaona.. View attachment 2166962
😂😂😂😂Kwenda zako. Hatuna vishundu na tunapost🤣🤣🤣
Mzungu pyuaa[emoji1787]View attachment 2167112
[mention]Saint Anne [/mention] picha haiko clear sana,huwa ni nyingi sema sio ndefu ...
HayaNimeshindikana Kila siku[emoji1787][emoji1787]
Unacheka nini sasa?Haya
Hata mimi naona[emoji1787]
Vipi braza?Haki
Wewe huyu
[emoji1787][emoji1787]
UlivyoshindikanaUnacheka nini sasa?
Nipo kwa boda yangu, nakurekodia hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatumia nini kupata appetite?
Mbona mimi nashindwa kula sana[emoji2296]