Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
😎😎😎Haleluya binti Abiud
😎😎😎Haleluya binti Abiud
Jamaniii dear,kipenzi wa mimi ile picha ulio futa 😬Unacheka nini sasa?
Nkamu kale ka mwili ndiyo unataka upungue tena?
Mwili ule au mimi naonaga vibaya? Ila na sisi kwa miili tu hatujambo mweehNkamu nimeongezeka sijafika mia ila naelekea 90+
Hiyo imerudiI
Jamaniii dear,kipenzi wa mimi ile picha ulio futa 😬
Sehemu tulivyu 😍Nipo kwa boda yangu, nakurekodia hapaView attachment 2167131
Wine is constant proof that God loves us and likes to see us happy 🥂Jua kali sana.View attachment 2167129
Indeed.Wine is constant proof that God loves us and likes to see us happy![]()
Hivi kutokula sanaa kuna sababisha mwili upungue au mawazo kichwani binafsi nikiwa na Stress sihitaji mazoezi mwili unakuwa kama Mange kinambi😬☹️Mwili ule au mimi naonaga vibaya? Ila na sisi kwa miili tu hatujambo mweeh
Kuna wengine wakiwa na stress, ndiyo wanakula sana. Ila naamini kutokula kunapunguza uzito, hata kama utabaki kibongeHivi kutokula sanaa kuna sababisha mwili upungue au mawazo kichwani binafsi nikiwa na Stress sihitaji mazoezi mwili unakuwa kama Mange kinambi😬☹️
AbeeeeWine is constant proof that God loves us and likes to see us happy 🥂
Nipo kwa boda yangu, nakurekodia hapaView attachment 2167131
Siri chakula na sipendi kula.. ila ukija kwenye weight utashangaaa.. na hapo ndio hata nikiendaga fanya checkup huwa wana shangaa.. ka mwili hamna kitu wala mafuta ila wait kama chuma cha pua 😀😀😀 nahisi kuna zaido ya hayoKuna wengine wakiwa na stress, ndiyo wanakula sana. Ila naamini kutokula kunapunguza uzito, hata kama utabaki kibonge
Ndiyo wale mnaitwaga "mna mifupa mizito sijui". Unene wa ndani kwa ndani. Ila jitahidi ule mdogo angu🤣🤣Siri chakula na sipendi kula.. ila ukija kwenye weight utashangaaa.. na hapo ndio hata nikiendaga fanya checkup huwa wana shangaa.. ka mwili hamna kitu wala mafuta ila wait kama chuma cha pua 😀😀😀 nahisi kuna zaido ya hayo
Weee shika adabua.. mie sio mdogo nitakufuta kazi.. 😎😎😎. Mifupa ina madini yote muhimu na hata upako huwa unakaa kwenye mifupa.. refer : Elisha NabiiNdiyo wale mnaitwaga "mna mifupa mizito sijui". Unene wa ndani kwa ndani. Ila jitahidi ule mdogo angu🤣🤣
Huyu sio wewe.. huyu demu yupo mwanzaaa.. mala kadhaa nime mgumia The cask.. mmenaza kuokotana humu 😀😀😀😀😀
Brother ana account yake special namfanya utaratibu aipate@9.8ms squared Kaka shida nini tena mtoto mzuri anahitaji matunzo bwana au bado unamfanyia vetting Mimi najua uwezo huo upo 9.8ms squared
Miss you jamani.. hilo limewekea sawa my inspiration.. 😍😍 si unajua mie nafundishikaBora shem umeongea labla atakuelewa