Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Unatumia nini kupata appetite?umefanya kwa muda gani?
Hivi huwa hakuna dawa za kukata apetite? mimi kula napenda![]()

Vimbaumbau haturuhusiwi ku-balance? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Boss ledi mahondaw tunaomba uweke yako kubalance shepuu
Leo shepu day
Siku hiyo ikifika jamaniIla ukipungua nalo litapungua tu...

Ahsante Cha urembo
Naomba ukiwa free tupe darsa sasa la scrub ya mwili mzima. Skin- care routine yako kwa ujumla
Ewaaa
Ngoja sasa niongeze na scrub kwenye kaparachute kangu
Nkamu nielekeze na ya uso.
Tangu joto limezidi uso wangu umekuwa na mafuta
Dark spots kibao...unakeraaaView attachment 2167053
Nasubiri ile picha yako kabla nywele hazijakatika

nikiipata nitaweka usijaliMno
Unataka kuwa mnene kama kifusi nkamu??
Hadi nikafikiria zile picha za sister nilizoweka ..ulizokuwa unasema siwezi kuwa na mwili zaidi yako
Yule tu ana kilo 75.



Siku hiyo ikifika jamani![]()
Chipsi hizi tamu ila .

kupungua ni mtihani asee inatakiwa ujikaze hasaaEwaaa
Ngoja sasa niongeze na scrub kwenye kaparachute kangu
Nkamu nielekeze na ya uso.
Tangu joto limezidi uso wangu umekuwa na mafuta
Dark spots kibao...unakeraaaView attachment 2167053
Mnaruhusiwa nkamu cha muhimu tu muwe na vishunduVimbaumbau haturuhusiwi ku-balance?![]()






Joy ana uncle wa kishua Sana
Ugali situmii sanaChipsi tu,ugali dagaa mlenda vipi?kupungua ni mtihani asee inatakiwa ujikaze hasaa
Kwenda zako. Hatuna vishundu na tunapost🤣🤣🤣Mnaruhusiwa nkamu cha muhimu tu muwe na vishundu![]()
Au na wewe uweke ile ya kwenye gauni linalokaaga kwenye begi tufunge mjadalaBoss ledi mahondaw tunaomba uweke yako kubalance shepuu
Leo shepu day



Lile ni la mtoko tu na shemejiAu na wewe uweke ile ya kwenye gauni linalokaaga kwenye begi tufunge mjadala![]()