Sengimisoji
Senior Member
- Feb 2, 2022
- 128
- 209
Sengi - shangazi
Misoji - michuzi
Sengimisoji - shangazi michuzi![]()


Sengi - shangazi
Misoji - michuzi
Sengimisoji - shangazi michuzi![]()


Humu chuma ni Nuzulati tu genius wangu and my inspiration 😊😊Jf ina vyuma![]()
Yaa najua unafundishika ila utekelezaji sasa😬Miss you jamani.. hilo limewekea sawa my inspiration.. 😍😍 si unajua mie nafundishika
Najua hutochoka pamoja kunivumilia katika kunifundisha katika kuelewa na utekelezaji.. ndio maana ya kuwa nafsi moja 😊😊😍Yaa najua unafundishika ila utekelezaji sasa😬
Wacha wee!! lazima usifie chako au sio
Aisee nilikuwa nimeshavurugwa! Nimepoteza picha zangu zote plus clip videoGood morning beautiful Christine1
Nasubiri hapa morning selfie

sijui hata nilifanyaje aisee memory haisomi inabidi nii-format upya!Dah.....Aisee nilikuwa nimeshavurugwa! Nimepoteza picha zangu zote plus clip videosijui hata nilifanyaje aisee memory haisomi inabidi nii-format upya!
AsanteDah.....
Pole sana rafiki
😊😊 kwa ujasiri kabisa hakuna kama Nuzulati. . ulimwenguni mwote, ulishawai ona wapi mseamji wa mbinguni akamsemea shetani.. mie ndio mseamji wake kila mtu na msemaji wakeWacha wee!! lazima usifie chako au sio
Ooh poleAisee nilikuwa nimeshavurugwa! Nimepoteza picha zangu zote plus clip videosijui hata nilifanyaje aisee memory haisomi inabidi nii-format upya!
Mkuu kwani hujaona hiyo ID ni ya February 2022!Huyu sio wewe.. huyu demu yupo mwanzaaa.. mala kadhaa nime mgumia The cask.. mmenaza kuokotana humu 😀😀😀😀😀
Fortnox
Hufanani na hiki kitabu nilitegemea ungesoma chenye tittle "jinsi ya kumwekea limbwata mume!"😂
Shindwaaa shetani 🙊Hufanani na hiki kitabu nilitegemea ungesoma chenye tittle "jinsi ya kumwekea limbwata mume!"😂
😀😀😀😀 aisee nimeona chief..Mkuu kwani hujaona hiyo ID ni ya February 2022!
Vijana mko macho sana eeeh!?Huyu sio wewe.. huyu demu yupo mwanzaaa.. mala kadhaa nime mgumia The cask.. mmenaza kuokotana humu
Fortnox



😂 Halafu unakesi..!Shindwaaa shetani 🙊
😀😀😀 hawapati mtu.. nazitazama tu..Vijana mko macho sana eeeh!?
Kuweni macho hivyo hivyo...hasa kwenye hizi id mpya mpya vinginevyo....![]()
Naomba kama una soft copy ya hicho kitabu. Nyakati hizi zenye hekaheka kila kona hata kumsikiliza Roho Mtakatifu na kutenda atuambiayo ni mtihani...Shindwaaa shetani![]()