makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Ngoja niokoteze zilizopo kwa phone nami nichangie huu uzi leo. View attachment 2167039View attachment 2167040View attachment 2167041View attachment 2167042
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukioa na majaribu ndio yanaongezeka shetani bwana
Na wew shusha nondo zako figure Kama Kylie jennerHaya sasa
Uzi umeshika hatamu[emoji91]
Afu nakudai ujue!!usijisahaulishe[emoji28][emoji28][emoji28]
Sengi - shangazi[emoji85][emoji85]View attachment 2167035
EwaaaView attachment 2167027
hili hapa Nkamu.
loweka miguu nkamu fanya hiyo process kwa mwezi utuletee mrejesho.
viatu ni bora zaidi kuliko socks, ila mtu akishindwa viatu avae socks kuliko kutembea peku
socks mimi huwa napenda nikipaka mafuta miguu ibaki na unyevunyevu muda mrefu so inasaidia hata kuondoa sugu za vidole ….hasa sisi wenye miguu mikubwa viatu huwa vinatutoa sugu sana.
Socks mpaka baridi lije ndiyo naziweza
Virefu wapi? Basi tu mazoea, mfano leo nimevaa mossimo, na hapa nimeivua…
Nina indoor slippers ila kuzivaa sasa!!
Emu nijaribu, maana mambo ya kumkwarua mtoto wa mama mkwe na miguu sio sawa [emoji1787]
[emoji2296]
Picha zingine hazionekani namhala...Ngoja niokoteze zilizopo kwa phone nami nichangie huu uzi leo. View attachment 2167039View attachment 2167040View attachment 2167041View attachment 2167042View attachment 2167043
Hips hips, tako tako, tumbo flaaaaaat[emoji1751][emoji1751]View attachment 2167052
Boss Lady uko perfect. Hakuna cha kuongeza hakuna cha kupunguza [emoji91][emoji91][emoji91]100% [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]yani nilikua maogopesha tumbo kuleee trako kuleee uwiii!!
sema mie nikinenepa mara nyingi najaa sana tumbo na maeneo ya chini !!
Mnomambo ya aibu Nkamuu[emoji85]
mie sanasana ni mazoezi na diet pia kuna dawa ya masai nilipewa.... nilipunguza sana kula vyakula vya wanga kwa wingi pia Usiku siku nyingine Nilikua nalalia ndizi mbivu tu zinakata sana mafuta siku nyingine mboga za majani sana na Siku nyingine mlo nakula matunda matunda tu matunda mix...
.sema sasa njaa nilikua nasikia kila mara muda mwingine nikisikia njaa nakula chakua kiduchu sana ivoivo!!
[emoji1787]
Ewaaa
Ngoja sasa niongeze na scrub kwenye kaparachute kangu[emoji23]
Nkamu nielekeze na ya uso.
Tangu joto limezidi uso wangu umekuwa na mafuta[emoji3064]
Dark spots kibao...unakeraaa[emoji51]View attachment 2167053
Figa ipi hiyo?[emoji23]Na wew shusha nondo zako figure Kama Kylie jenner
Namchukulia Joy mazaga zaga 😀😀Kabisa na hivi hili lijamaa 9.8ms squared Sio lichoyo utaenjoy Sana
Boss ledi mahondaw tunaomba uweke yako kubalance shepuu[emoji1751][emoji1751]View attachment 2167052
Nkamu kale ka mwili ndiyo unataka upungue tena?umefanya kwa muda gani?
Hivi huwa hakuna dawa za kukata apetite? mimi kula napenda [emoji3]