Marahaba junior joblessShkamoo Mjep
Naomba uselfike mdogo wangu iyo sketi ya kiabiud nipate cha kumsimulia Heaven Sent
Marahaba junior joblessShkamoo Mjep
😀😀😀 mtaalikwa wachache sana hata watu 30 hamtofika.. ana roho nzuri sana genius sana@nazulat Hana noma mzungu Sana nasubiri tu invoice ya mchango wa harusi
Umeona sasa mnavyowachanganya watu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tena miili mnaendana utamuazima na lile gauni lako la marinda saaaafi kabisa mwanamke shaha bna ndio tunaoa
Beautiful [emoji3059]Nyie nawaona.. View attachment 2166962
Nimenuna leo 😇Beautiful [emoji3059]
Tabasamu sasa kidogo
Sijambo MjepMarahaba junior jobless
Naomba uselfike mdogo wangu iyo sketi ya kiabiud nipate cha kumsimulia Heaven Sent
Kununa ukiwa na dimpoz ni matumizi mabaya ya dimpozNimenuna leo [emoji56]
Dogo umevaa hillsSijambo Mjep
Hivi huko Arusha hamtafuti japo dobi jamani??[emoji16]
Picha ipi sasa?
Labda ya miguu yangu ya VView attachment 2166965
Macho lainiii❤️Nyie nawaona.. View attachment 2166962
Natabasamu kitu gani na hizi meno za kiarusha 😁Kununa ukiwa na dimpoz ni matumizi mabaya ya dimpoz
Watu wenye dimpoz na hawataki kutabasamu wauwawe ...
Uhuru umezidi.
Picha ya mwaka Jana kabla sijajishtukia kwamba nikivaa nakuwa ngongoti[emoji1787]Dogo umevaa hills
Mimi napenda meno ya HivyoNatabasamu kitu gani na hizi meno za kiarusha [emoji16]
Aisee kazi yake molaNyie nawaona.. View attachment 2166962
Ewaaaaa.........❤Sijambo Mjep
Hivi huko Arusha hamtafuti japo dobi jamani??[emoji16]
Picha ipi sasa?
Labda ya miguu yangu ya VView attachment 2166965
NimefuraaaahiUshaanza[emoji1787][emoji1787]
Safi sana pisi kama pisi moja matataaa..
Miguu ya V?Ewaaaaa.........[emoji173]
Mdogo wangu hapa nina cha kujivunia
Leo Heaven Sent atakoma
Najipanga kumsimulia nilichokiona[emoji7]