Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,223
mie sanasana ni mazoezi na diet pia kuna dawa ya masai nilipewa.... nilipunguza sana kula vyakula vya wanga kwa wingi pia Usiku siku nyingine Nilikua nalalia ndizi mbivu tu zinakata sana mafuta siku nyingine mboga za majani sana na Siku nyingine mlo nakula matunda matunda tu matunda mix...Share tips plz umefanyeje, mimi nakaribia 100![]()
.sema sasa njaa nilikua nasikia kila mara muda mwingine nikisikia njaa nakula chakua kiduchu sana ivoivo!!




