Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnaongea mambo ya shule

Nimemiss kukimbia smart area

Nimemiss kunawishwa uso na matron’s.. asione kauso kanameremeta utaenda kunawa umrudie unachuruzika maji

Kuvaa misoksi kama referee

Yule afande alikuwa akisema ‘ haya haya haya parediiiiii… msauti ule mpk posta watu wanaweza kusikia 🤣
 
Well namuonea huruma huyo mdogo ila atazoea tu jamani , Hakika matazoea ndo safari ya masomo inaanza hapo ..
Well ni mdogo so ataanza form one na miaka 12 ,shule hizo zipo vizuri hakika ataweza .
Atazoea tu hahahaa!!!alinambia mama Dada akimaliza nihamishe pale siwezi kusoma mwenyewe hvyo mwakani anaingia la 5 ntamuhamisha!!
Katoto mnoo sema ana umbo kuubwa ila kadogo sana

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mnaongea mambo ya shule

Nimemiss kukimbia smart area

Nimemiss kunawishwa uso na matron’s.. asione kauso kanameremeta utaenda kunawa umrudie unachuruzika maji

Kuvaa misoksi kama referee

Yule afande alikuwa akisema ‘ haya haya haya parediiiiii… msauti ule mpk posta watu wanaweza kusikia
Hahahaha!!mlosoma shule za jeshi mlipata taabu Sana'a!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom