Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,842
- 57,486
Umefanya nipate hamu ya kula Parachichi Jioni hii, unaambiwa sisi wazee unapokula haya matunda yanasaidia tusishambuliwe na maradhi ya moyo😋😋
Umefanya nipate hamu ya kula Parachichi Jioni hii, unaambiwa sisi wazee unapokula haya matunda yanasaidia tusishambuliwe na maradhi ya moyo😋😋
Litafute ulikule babu akee, uishi miaka mingi 🤪Umefanya nipate hamu ya kula Parachichi Jioni hii, unaambiwa sisi wazee unapokula haya matunda yanasaidia tusishambuliwe na maradhi ya moyo😋😋
Hehe kabla hamjaanza mtanange msisahau tu kunipa nguo zenu niwashikie msije mkachaniana bure! Mkimaliza kupigana ndiyo nawarudishia!Sema kuna nini watu tuvae sura za kazi,, ili tuwaletee performance nzuri ya ugomvi,, maana nna muda sijapigana![]()
pole dating na watu wazima wa akili🤣🤣🤣🤣 kwani yule ‘Nnn’ ni boga? Hapana nakataa
Asante, siku ukija kutoka huko Ulaya usisahau kuniletea zawadi ya maparachichi Mjukuu 😋😋Litafute ulikule babu akee, uishi miaka mingi 🤪
Sawa bogapole dating na watu wazima wa akili
Siyo wewe ndiyo unitumie maparachichi na mchele supa?Asante, siku ukija kutoka huko Ulaya usisahau kuniletea zawadi ya maparachichi Mjukuu 😋😋
Njoo shambani bwanaa upate kujifunza mambo uta emjoy sanaaaJibu lipo shambani kwako![]()
Exactly na ndicho ninachowashangaa hawa wanaume wa kiafrika! Huwa wanaassume kwamba mwanamke ukifika umri fulani hujaolewa basi utakuwa na mkosi na utakuwa malaya tu hivyo hata pale makao makuu mlango utakuwa umeongezeka ukubwa!Hii dhana au katabia ka jamii kumuona Mwanamke akifika umri fulani anastahili kuolewa ina sababisha ndoa za ajabu katika jamii yaani naolewa kwa sababu jamii itanicheka
Haijawai kutokea nikawa boga.. 😎😎Sawa boga
I meant boda yanguBoda tena jamani 👷♂️👷♂️
Ona sasa 🙂🙂.. kesho basi mchana ukuje utanikuta kabisa getini leo nimekuja Dar kushangaa vishundu vya wa dar es salaamI meant boda yangu
Inasikitisha sanaExactly na ndicho ninachowashangaa hawa wanaume wa kiafrika! Huwa wanaassume kwamba mwanamke ukifika umri fulani hujaolewa basi utakuwa na mkosi na utakuwa malaya tu hivyo hata pale makao makuu mlango utakuwa umeongezeka ukubwa!
Njoo shambani bwanaa upate kujifunza mambo uta emjoy sanaaaView attachment 2166082View attachment 2166084View attachment 2166085View attachment 2166086View attachment 2166087
Jamii zimebadirika Lovelucky. mitazamo imebadirika watu hawapo kama zamani. Kuo na kuolewa ni neema na huruma za Mungu. Wanaume wote au jamii zote hazina hiyo fikraExactly na ndicho ninachowashangaa hawa wanaume wa kiafrika! Huwa wanaassume kwamba mwanamke ukifika umri fulani hujaolewa basi utakuwa na mkosi na utakuwa malaya tu hivyo hata pale makao makuu mlango utakuwa umeongezeka ukubwa!
Haisikitishi, badili jamii iliyokuzunguka kaa na wenye mawazo huru hutokaa usikie hizo kelelInasikitisha sana
Ni wapi hapa mpendwa aisee madhari nzuriiii❤️Njoo shambani bwanaa upate kujifunza mambo uta emjoy sanaaaView attachment 2166082View attachment 2166084View attachment 2166085View attachment 2166086View attachment 2166087
Tatizo ni wanaume wote mko na hiyo mitazamo! Ukitaka kuamini uliza kama kuna mwanaume ambaye yuko tayari kuoa au kuwa na mahusiano serious na mwanamke aliyejaza coaster!Ni notions za watu wasiojielewa tu, sio kila mtu ataoa/ataolewa. Halafu kuna watu wana maamuzi yao tofauti na wengine, mbona wewe umesema kubanjuana sio mambo yakounataka tukuchukulie wa tofauti?
Jamii inayonizunguka haina hayo mambo ya ajabu ila kwenye mitandao huwa nasoma mawazo ya watuHaisikitishi, badili jamii iliyokuzunguka kaa na wenye mawazo huru hutokaa usikie hizo kelel
Kwanini jamii ndiyo isiache kuwa na mitazamo ya ajabu? Hauwezi kumuambia mtu don't give a damn halafu at the same time unamnyooshea vidole!Jawabu ni simple,, don't give a damn,, olewa unapoona uko tayari,, usisikilize jamii inachosema