Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hongera sana .
Wapo close eeh ?
Sasa huyu mdogo ataanza kummiss dada ake .
Mnoo!!inseparable yaani!!always Niko nao mwenyewe ntawamis sana akiondoka shule na hivi kana only 11 yrs nawaza shule za masista acha tu ila bora maadili na elimu

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Well namuonea huruma huyo mdogo ila atazoea tu jamani , Hakika matazoea ndo safari ya masomo inaanza hapo ..
Well ni mdogo so ataanza form one na miaka 12 ,shule hizo zipo vizuri hakika ataweza .
 
Back
Top Bottom