Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaap both wameanza na five years mi muoga sana ujue nataka adolescence iwakute chuoo huku chini wasijue kitu wasome seminary za masista tuuu!!wakalanduke na course work hukooo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mno yaan. Uwiiiih.
 
Ooh vyema nimependa hii bora wawahi tu .
Bora kuwahi ila nayo changamoto wanakua na utoto mwingi mnoo![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]yaani akili zao sasa bora huyu mkubwa mkimyaa !ila huyu wa pili mpk walimu wanasema kaahh!!kana utoto mwingi kushtaki mda wote,kulia, kulalamika hakuna mwl asomjua

Mwaka Jana alinambia mama mi kusoma baasi sitaki,kisa hasemi,nikamlazimisha akawa anajifanya mgonjwa sasa ikabidi ntumie mbinu kumuulizia kama walimu shuleni wakoje akanambia wakali wanapiga balaa...kumbe anaogopa fimboo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ikabdi niende shule niongee na walimu nkawaambia huyu ana 7yrs tu hapo yuko std 3 wakasema daahh!ndo maana basi anabehave kitoto siye tunajua tunadeal na mtu mkubwa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wakaanza kumtreat according to her age akaanza kupenda shuel[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom