Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Duh [emoji2297]
Duh [emoji2297]
Ameen kipenzi!karibu mji mpya wa kiserikaliasante, Nipo poa now Mungu ni mwema
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Snapchat [emoji6][emoji39]
Inajuaga kututoa
Ooh Asante kwa ufafanuzi ila watakuwa sawa tu kadri muda unavyozidi kwenda ,stay strong.Bora kuwahi ila nayo changamoto wanakua na utoto mwingi mnoo![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]yaani akili zao sasa bora huyu mkubwa mkimyaa !ila huyu wa pili mpk walimu wanasema kaahh!!kana utoto mwingi kushtaki mda wote,kulia, kulalamika hakuna mwl asomjua
Mwaka Jana alinambia mama mi kusoma baasi sitaki,kisa hasemi,nikamlazimisha akawa anajifanya mgonjwa sasa ikabidi ntumie mbinu kumuulizia kama walimu shuleni wakoje akanambia wakali wanapiga balaa...kumbe anaogopa fimboo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ikabdi niende shule niongee na walimu nkawaambia huyu ana 7yrs tu hapo yuko std 3 wakasema daahh!ndo maana basi anabehave kitoto siye tunajua tunadeal na mtu mkubwa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wakaanza kumtreat according to her age akaanza kupenda shuel[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mmh vipiDuh [emoji2297]
Umependezajeee lol!! ka mfanyiwa kichen party vile lol!✌️✌️✌️View attachment 2166423
Kuna hii pia.. uwa ina kama ka sunflower/ kajua flani hivi 🤣
[emoji1787][emoji1787]Mbagala napaelewa
Aisee hujaniona nikiwa zangu kituoni nasubiria gari [emoji1787].
Kwa adha niliyoipata sitaki mwanangu apate aseeh[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Super imran,pedestrians team Temeke,Ipembe kwa team mwenge!!!weee sina hamu na hivi vitoto vitafeli tuDay ina raha yake pia
Mnatembea weh mji mzima huu [emoji1787]
Mimi nashukuru day imenifundisha kugombania mabus la sivyo ningekuwa nasimama kila siku .
Beautiful [emoji7]View attachment 2166423
Kuna hii pia.. uwa ina kama ka sunflower/ kajua flani hivi [emoji1787]
Weee!!hongera sana asehh!wakishua au vipajii nyieNilipenda sana kusoma day, ila sasa nilikosa bahat, nkaangukia boarding 6yrs lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ya ndoa hii? [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2166423
Kuna hii pia.. uwa ina kama ka sunflower/ kajua flani hivi [emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜😜😜😜😜!Siku ya ndoa hii? [emoji23][emoji23][emoji23]
Survival of fittest [emoji28][emoji1787][emoji1787]
Leo ameficha lips!!Unaziba mno
Sehemu muhimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahBora kuwahi ila nayo changamoto wanakua na utoto mwingi mnoo![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]yaani akili zao sasa bora huyu mkubwa mkimyaa !ila huyu wa pili mpk walimu wanasema kaahh!!kana utoto mwingi kushtaki mda wote,kulia, kulalamika hakuna mwl asomjua
Mwaka Jana alinambia mama mi kusoma baasi sitaki,kisa hasemi,nikamlazimisha akawa anajifanya mgonjwa sasa ikabidi ntumie mbinu kumuulizia kama walimu shuleni wakoje akanambia wakali wanapiga balaa...kumbe anaogopa fimboo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ikabdi niende shule niongee na walimu nkawaambia huyu ana 7yrs tu hapo yuko std 3 wakasema daahh!ndo maana basi anabehave kitoto siye tunajua tunadeal na mtu mkubwa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wakaanza kumtreat according to her age akaanza kupenda shuel[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kweli tena ujue chuo kufaulu utakw kufeli utake,waende vyuoni wakieta ujinga wakila sup 3 mwaka wa kwanza[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ile first semester watakaa sawa ila huku chini ngoja nikomae kidogo maana huko sitaweza kuwachunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mno yaan. Uwiiiih.
Mpk naziogopa snap chat[emoji28][emoji28][emoji28]zinanifanya niwe kama kamdoliiAcha tu , tunakuwa warembo ..live sasa [emoji28]
Hii filter naipenda balaa , haijawahi kunikataaa
😀😀 nakwambiaUmependezajeee lol!! ka mfanyiwa kichen party vile lol!✌️✌️✌️
Katukosea sanaLeo ameficha lips!!