Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
IMG-20220327-WA0005.jpg
 
Hii kimasihara mbona una itajataja mmh kwa kweli nimegaili na hivi kumetulia hivyo hapo hata nikipiga kelele hakuna Msaada😬
😀😀😀 hamna hayo mambo bwanaaa.. acha hayo mawazoo.. hapa upepo safiii hamna masihara.. dhambi hivyoo.. hapa utakuwa mikono salamaaa kabisa.. hadi tumalize zile process ndio tule tunda 😁😁😁
IMG_20220301_144147.jpg
 
😀😀😀 hamna hayo mambo bwanaaa.. acha hayo mawazoo.. hapa upepo safiii hamna masihara.. dhambi hivyoo.. hapa utakuwa mikono salamaaa kabisa.. hadi tumalize zile process ndio tule tunda 😁😁😁View attachment 2166132
😂😂kengele ya hatari imelia kwenye fuvu la kichwa😬hebu aje kwanza Tinsley akirudi nami nitafuata😂😂😂
 
Back
Top Bottom