Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Wana bisha hapa jukwaani ila ukweli kwenye fikra zao ......Tatizo ni wanaume wote mko na hiyo mitazamo! Ukitaka kuamini uliza kama kuna mwanaume ambaye yuko tayari kuoa au kuwa na mahusiano serious na mwanamke aliyejaza coaster!