Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Tunaye shujaa asiyebahatisha
Yeye ni Mungu mipango yake ni thabiti
Alichopanga mwanadamu haingilii
Tunaye shujaa
Tunaye muweza
Tunaye eeeh
Hakika tunaye Baba ah!
Yeye ni Mungu mipango yake ni thabiti
Alichopanga mwanadamu haingilii
Tunaye shujaa
Tunaye muweza
Tunaye eeeh
Hakika tunaye Baba ah!









