cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hadi babuuuh unaninangaa hivi.Sirudii tena aisee. Hata sijui nilipatwa na nini yaani. Dogo kanyoa panki mwembamba kama Kokastiki mlegevu legevu jomonii tyuuh lakini akiikanyaga hii kitu weh!
Nitakutafuta aisee. RR kutoka Dar mpaka Mza mbona itapendeza mno? Thanks for the offer chief [emoji1545]
Haya bhana, nitawaacha wenyewe humu, ntaenda kupambana na majukwaa mengine tyuuh.