Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hebu watuache sie.. binafsi kuselfika kam kauwaaa siachi ng'o wakunichamba anichambe wakunisema aniseme mie sijareeeeeeee[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wengine wametuchamba na kutusema wee wamechoka na kushindwa, wanabaki kutusema kwa kutusifia, afu hatujar wala nn.
 
Endelea hivyo hivyo kutuheshimu, nakukumbusha radhi za wazee ni Kali sana [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Naelewa babuuuh yangu. Bila nyie wazazi wasingekuwepo, na mie nisingekuwepo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iringa moja
IMG_20220327_105837.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mie nshasemwa sana jf sina hhabareeee nipo zangu bize na selfika tu uzuri sijaiba cha mtu aaaghhhhhh!! Hebu shos tupia kwanza selfie ichanganshe uzi basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeeh.
Hapo kwa selfika usijar yaan, naweka kitu hapa.
 
Back
Top Bottom